Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Nashukuru sana kwa kulitambua hilo.
Sasa umeona mwanamke mwenye 40s hawezi beba mashosti kwenda kulichuna buzi na hili neno buzi linatumiwa sana na 20s
Tukiishi kama bold hapo hatuna haja ya kuwa na Jeshi la polisi kwani amani tutaijenga wenyewe.
Mpwa Fidel80 apo ujue akili zao bado hazijakomaa.kama.ulivosema wana mawazo ya "chuna buzi" na kudhani watakuwa kwenyr hiyo 20s forever
ila mi hili neno la buzi ni kama nimelikuta vile
Tukiishi kama bold hapo hatuna haja ya kuwa na Jeshi la polisi kwani amani tutaijenga wenyewe.
nakuona tu! We haya!hapa leo mnadiskasheni mswada gani wa katiba?
Mtu yeyote mwenye mapenzi mema na odm hebu akuje pm fasta. Wa jinsia ya kike mwenye miaka 30 mpk 39 atakuwa na added advantage
Usimwage mchele kwenye kuku wengi huzChocs njoo mama kuna katopic kanakuhusu huku.
Ila wewe sio mtoto ingawa unanichanganya sana mwenzio
Wanajamvi habarini za weekend?
Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:
1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.
Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.
Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉
Sijui wengine mnaonaje....ruksa kuongeza.
Cc: Mtambuzi Asprin The Boss MziziMkavu KakaKiiza Baba V Sandeni Judgement Erickb52 Arushaone Filipo Nicas Mtei Mtoto halali na hela Bishanga
Bcc: gfsonwin cacico lara 1 AshaDii amu snowhite Madame B ladyfurahia charminglady KOKUTONA Passion Lady Zahra White Ray b BADILI TABIA Kongosho King'asti Heaven on earth sweetlady mimisa Graca marejesho Arabela mandenyi The secretary
-Ni watamuu.
-Hawana wivu wa kero!
-Always happy when you are with them.
na si huyo unaempa hiyo ya kwenye bold awe muelewa la sivyo mwendo wa jeshi utakuepo tu
hahahaha unajua nimefuzu kikosi cha ulinzi shirikishi