Ngoja nifikishe hiyo 40 yako ndipo nikakapoweza kukubaliana na kukataliana na wewe kwa kutumia experience yangu mwenyewe. Maana nimepitia 20s na sasa hivi niko kwenye 30s na kwa mengi kama si yote nakubaliana na mchungaji Kaizer kwa muda huu.
Ngoja nifikishe hiyo 40 yako ndipo nikakapoweza kukubaliana na kukataliana na wewe kwa kutumia experience yangu mwenyewe. Maana nimepitia 20s na sasa hivi niko kwenye 30s na kwa mengi kama si yote nakubaliana na mchungaji Kaizer kwa muda huu.
1. Kuwa ndani ya ndoa.
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.
Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,
Hapo nilichopungukiwa ni mtoto wa pili tu! Maana hata kakitambi ninako!
Hahahaha anakuja na wapambe 4 yeye wa 5 wapambe wanakunywa Heineken, whiendok, Savana, Mtakatifu Anna mara dear tunataka kiti moto kilo 5 na kuku wawili bila kusahau chipsi kavu sahani 5.
come again (sijui nimekuwa kilaza?)
Mbona ulinitonya siku ile kuwa ulikata chote?
kimeanza kurudi kwa speed, damn Kitimoto na Chivas regal!
hahahah!UN watakuwa walikosea. Kampeni ya kula wadudu ingefanikiwa sana kama wangesema kula insects zaidi inasadia kupunguza unene: https://www.jamiiforums.com/habari-...nga-la-njaa-un-yashauri-watu-wale-wadudu.html
Smart kwenye kushauri watu kama wewe kula wadudu?
Hivi kitimoto si anajulikana kama mdudu bila zile famous 3 parts eeh?