Wanawake walio wengi wanapenda wanaume wachangamfu

Binafsi napenda wale wapole yaan hawana habar na mtu wala mazoea na utani wa kipuuz ata ukikaa nae kwa bus wala hana habar na wewe anakua bze na yake..napenda mwanaume asiezoeleka haraka yaan hana time na mtu kabisa...ukimzoea basi ujue umejipendekeza.
Hakika ndivyo tulivyo.
 
A wife is a wife even if you treat him like a king he will still go back to his wife,,
Wives should I increase the
Volume????
 
Binafsi napenda wale wapole yaan hawana habar na mtu wala mazoea na utani wa kipuuz ata ukikaa nae kwa bus wala hana habar na wewe anakua bze na yake..napenda mwanaume asiezoeleka haraka yaan hana time na mtu kabisa...ukimzoea basi ujue umejipendekeza.
we unavutiwa na introverts
 
Huu ni ukweli usio na shaka, wanawake walio wengi wanapenda wanaume waliochangamka, kama mwanaume ni mpole itakuwia vigumu kupata mwanawake wa kuingia naye kwenye mahusiano.

Hata ukiwaangalia ma-playboy wengi wao ni wachangamfu, ambao ni wapole ni wachache sana.

Ukiangalia wanaume wengi masingle ni wale wapole, lakin ni adra sana kukuta mwanaume mchangamfu alafu ni single.

Na kwenye ndoa wanaume wapole inawawia vigumu kuingia kwenye ndoa, wako ambao inafikia hatua wanatafutiwa wake na wazazi wao, kaka, Dada, ndugu au marafiki. Ni tofaut na waliochangamka wao kupata mwenza wa maisha ni rahisi sana.

NOTE; nime-assume other factor ni constant kama fedha
Mwanaume unapoamua kuvaa viatu vya mwanamke ni hatari kwa jamii.
Pia elewa mwanaume mpole au mkimya ni mbele za watu ila wakiiwa private wao wawili "fujo" kama kawaida.
 
Mimi ni mpole na nipo serious kinoma wala sina story za kijingajinga,ila najali sana muonekano wangu ni msafi 24hours,lkn nikimtaka Demu napita nae kama upepo sababu sina maneno mengi ila machache nayoongea ni matatu kinoma
Huu ni ukweli usio na shaka, wanawake walio wengi wanapenda wanaume waliochangamka, kama mwanaume ni mpole itakuwia vigumu kupata mwanawake wa kuingia naye kwenye mahusiano.

Hata ukiwaangalia ma-playboy wengi wao ni wachangamfu, ambao ni wapole ni wachache sana.

Ukiangalia wanaume wengi masingle ni wale wapole, lakin ni adra sana kukuta mwanaume mchangamfu alafu ni single.

Na kwenye ndoa wanaume wapole inawawia vigumu kuingia kwenye ndoa, wako ambao inafikia hatua wanatafutiwa wake na wazazi wao, kaka, Dada, ndugu au marafiki. Ni tofaut na waliochangamka wao kupata mwenza wa maisha ni rahisi sana.

NOTE; nime-assume other factor ni constant kama fedha
 
Kuna ukimya, upole na udomo zege...
Ukimya unakuja na umimi... upole inakuja na huruma/ukarimu... udomo zege unaambatana na wivu...
Binadamu yoyote mcheshi hachoshi...
Cc: mahondaw
Mistaking introversion for shyness is a common error. Introversion is a preference, while shyness stems from distress. Introverts prefer solitary to social activities, but do not necessarily fear social encounters like shy people do.
 
Back
Top Bottom