Wanawake walio wengi wanapenda wanaume wachangamfu

Huu ni ukweli usio na shaka, wanawake walio wengi wanapenda wanaume waliochangamka, kama mwanaume ni mpole itakuwia vigumu kupata mwanawake wa kuingia naye kwenye mahusiano.

Hata ukiwaangalia ma-playboy wengi wao ni wachangamfu, ambao ni wapole ni wachache sana.

Ukiangalia wanaume wengi masingle ni wale wapole, lakin ni adra sana kukuta mwanaume mchangamfu alafu ni single.

Na kwenye ndoa wanaume wapole inawawia vigumu kuingia kwenye ndoa, wako ambao inafikia hatua wanatafutiwa wake na wazazi wao, kaka, Dada, ndugu au marafiki. Ni tofaut na waliochangamka wao kupata mwenza wa maisha ni rahisi sana.

NOTE; nime-assume other factor ni constant kama fedha
Bro men mpole kwanz anacfa y uaminif pia akimtongoz manzi yy mwenyew anakua attention n serious.. Anajua jamaa anamaanisha ila hii ni kwa wanawake wanao jitambua co wale wakupga n kutema
 
Binafsi napenda wale wapole yaan hawana habar na mtu wala mazoea na utani wa kipuuz ata ukikaa nae kwa bus wala hana habar na wewe anakua bze na yake..napenda mwanaume asiezoeleka haraka yaan hana time na mtu kabisa...ukimzoea basi ujue umejipendekeza.
Upo sawa
 
Nitafute
nina zawadi yako
 
Mbona unanisema we doughter
 
Bro men mpole kwanz anacfa y uaminif pia akimtongoz manzi yy mwenyew anakua attention n serious.. Anajua jamaa anamaanisha ila hii ni kwa wanawake wanao jitambua co wale wakupga n kutema
Hii ni universal principle wala haina ubishi.
 
Back
Top Bottom