Wanawake walio wengi wanapenda wanaume wachangamfu

Wanawake walio wengi wanapenda wanaume wachangamfu

NOTE; nime-assume other factor ni constant kama fedha
😂😂 Nimependa hii assumption!

Assumption za kuongezea!
g ni constant
Neglect air resistance
Neglect energy losses due to friction
Neglect heat loss
 
Hivi kinyume chamchangamfu nimpole?
Huu uzi kwa hakika ulipaswa kuchangiwa na MABINTI, MASINGO MAZAS, MAAUNTIE and the like...
Sisi vidume vya mbegu tukae pembeni tunasikilizia.
 
Dada ake mie nimekumiss mpaka nakosa cha kuandika hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu fanya unifuate tutete sasa mawili matatu yahusuyo Familia. [emoji120][emoji120]
Hahahahahah kabisaa kaka ake....sipendi mambo mengi eti



Halafu nimekumiss ujue
 
Kuna jamaa yetu ni mpole na mkimyaaa,lakini jamaa si mtu mzuri hata kidogo hafai hata kwa kurumagia,ukimuona hivi kama zoba flani lakini akitokea demu hapindui..!!ilifika wakati tukambatiza jina la silent killer.

Ila ni kweli mademu wanapenda watu wachangamfu lakini mtu mpole akiamua kumtongoza demu hamkosi! yaani yule jamaa sisi tunajipendekeza kwa mademu,tunawachekesha na wanacheka,tunazoeana nao lakini jamaa anatafuna kirahisi na hana habari wala nini!
 
Kwa research yangu nimegundua wanaume wengi ndo wamekubaliana na maada yako lakini wahusika wenyewe wanasema wanapenda wapole, na Uzi kama huu ni vizuri tuwaachie wahusika waseme tusiwasemee,maana kila mtu atavutia kwake,ila kwa upande wangu Mimi ni mpole ila huwa sitongozi yaani madem huwa wananipenda sana,tokea zamani Niko hivyo yaani,
 
Back
Top Bottom