Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Huu ni ukweli usio na shaka, wanawake walio wengi wanapenda wanaume waliochangamka, kama mwanaume ni mpole itakuwia vigumu kupata mwanawake wa kuingia naye kwenye mahusiano.
Hata ukiwaangalia ma-playboy wengi wao ni wachangamfu, ambao ni wapole ni wachache sana.
Ukiangalia wanaume wengi masingle ni wale wapole, lakin ni adra sana kukuta mwanaume mchangamfu alafu ni single.
Na kwenye ndoa wanaume wapole inawawia vigumu kuingia kwenye ndoa, wako ambao inafikia hatua wanatafutiwa wake na wazazi wao, kaka, Dada, ndugu au marafiki. Ni tofaut na waliochangamka wao kupata mwenza wa maisha ni rahisi sana.
NOTE; nime-assume other factor ni constant kama fedha