ninaiogopa hiyo avatar yako sintakaa nifungue thread yako mamammmmmmmmmmmmmmmmmmmmHa aha ah
je jina lakeninaiogopa hiyo avatar yako sintakaa nifungue thread yako mamammmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Nilitaka nichangie lakini kwa avatar hii nimeghairi. Avatar yako wataitumia wenye watoto wadogo wasiopenda kulala mapema.
Duuuuuuh hata kufungua tena inakuwa ishuuu.Dah utaizoea tu mkuu
Umeonaee? Nilishamwambia hiyo avatar atangulize tahadhari kabla ya post zake. Mkuu Ipycalypse jikutilisya! ulinsyuka????:spy:ninaiogopa hiyo avatar yako sintakaa nifungue thread yako mamammmmmmmmmmmmmmmmmmmm
huwa najiuliza au wewe ni boko haram nini? au janjeweedSimple sana we sema Ipikalipse ndio inavyotamkwa