Wanawake wakiolewa wanaacha zile "style" za kitandani

Wanawake wakiolewa wanaacha zile "style" za kitandani

Sasa ngoja akapewe huko nje style za fundi pazia kadondoka mje kulalamika huku 😂😂😂😂baba chanja anachepuka😂😂
Aisee na vimichepuko vinajua kukomeshea vinatoa style zote haya wapandishe cheo sasa wanarudi kuwa kawaida ndiyo ujue mapenzi siyo vita mkuu😀😀😀
 
Stress za vikoba zimejaa pomoni halafu mwanamke apate na muda wa stress za mauno?Hata K zina kauka kwenye ndoa kwa sababu ya stress za maisha,kile kiapo cha katika shida na raha watu husahau maana yake.
 
Iv kumbe kwenye ndoa ndio kupo hivyo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
We ngadu nakutafuta nicheck secret chemba fasta kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ngaduu niko winja winjaaa hapaa.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari.

Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha.

Wanaume wanavurugwa na ma style ya mguu chaga mguu neti, zingine zinaitwa za kichina china huu haa.

Wanawake wajanja bana yaani wanawachanganya tu wanaume kuwa wao ni mafundi wa sita kwa sita.

Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanawake wakiingia tu ndani ya ndoa, wanaanza upya, yaani yale maseke seke yote ya kitandani yanaachwa kule.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.

Alisikika mwanaume mmoja akiwaambia wenzake na wenzake wakasema na wao janga ni lile lile..

Sasa tusikie na kwenu wanaume je ninkweli wanawake wanabadilika zile style za mapenzi kitandani?
kwahiyo mnasakamuana kabla ya ndoa
basi sawa
 
Back
Top Bottom