Wanawake wakiolewa wanaacha zile "style" za kitandani

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari.

Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha.

Wanaume wanavurugwa na ma style ya mguu chaga mguu neti, zingine zinaitwa za kichina china huu haa.

Wanawake wajanja bana yaani wanawachanganya tu wanaume kuwa wao ni mafundi wa sita kwa sita.

Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanawake wakiingia tu ndani ya ndoa, wanaanza upya, yaani yale maseke seke yote ya kitandani yanaachwa kule.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.

Alisikika mwanaume mmoja akiwaambia wenzake na wenzake wakasema na wao janga ni lile lile..

Sasa tusikie na kwenu wanaume je ninkweli wanawake wanabadilika zile style za mapenzi kitandani?
Picha
 
Mwanamke Hana tabia

Kimsingi ,atamsubiria aliyemwoa anampaje maelekezo akiwa fala ,usitegee mwanamke ataonesha unayosema

Hofu ,kuitwa Malaya ili aoneshe huo udambwi dambwi maelekezo yamumewe
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari.

Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha.

Wanaume wanavurugwa na ma style ya mguu chaga mguu neti, zingine zinaitwa za kichina china huu haa.

Wanawake wajanja bana yaani wanawachanganya tu wanaume kuwa wao ni mafundi wa sita kwa sita.

Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanawake wakiingia tu ndani ya ndoa, wanaanza upya, yaani yale maseke seke yote ya kitandani yanaachwa kule.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.

Alisikika mwanaume mmoja akiwaambia wenzake na wenzake wakasema na wao janga ni lile lile..

Sasa tusikie na kwenu wanaume je ninkweli wanawake wanabadilika zile style za mapenzi kitandani?
Wewe ni Mwanaume au Bado hujaolewa?
 
Tafuta malaya wa chuo, acha kulalamika.
 
mtoa mada una kitu😀 utafika mbali.
 
Duh! kama kuna Mwanaume anayeoa simply kwa style kali za kitandani.
Hakika amepotea.
 
Upike, udeki, ufue, uangalie watoto kwa ukaribu, ukunje nguo kabatini, upasi, uandae maji ya kuoga ya karafuu na iriki, uende kazini kwako. na ukimaliza yote hayo kubinuka kunakusubiri.
Picha ya kubinuka tafadhali...[emoji2960]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni vingi huachwa
Kupika
Kukunawisha mikono kwa heshima
Kukuhudumia chakula wakati Baada ya ndoa watoto na Dada hutumiaka zaidi.
Mpikie baba huwa nyingi sana muwekee maji ya kuoga.
Wkend Kama hivi unakuta tangu kumekucha mtu yupo na simu simu simu tuu si tayari yupo kwenye ndoa?
Tuvumilie ndivyo walivyo
Ni huzuni
 
Upike, udeki, ufue, uangalie watoto kwa ukaribu, ukunje nguo kabatini, upasi, uandae maji ya kuoga ya karafuu na iriki, uende kazini kwako. na ukimaliza yote hayo kubinuka kunakusubiri.
Nyie pia kuj
Ni vingi huachwa
Kupika
Kukunawisha mikono kwa heshima
Kukuhudumia chakula wakati Baada ya ndoa watoto na Dada hutumiaka zaidi.
Mpikie baba huwa nyingi sana muwekee maji ya kuoga.
Wkend Kama hivi unakuta tangu kumekucha mtu yupo na simu simu simu tuu si tayari yupo kwenye ndoa?
Tuvumilie ndivyo walivyo
Nyie pia kuna vitu hua mnaacha
 
Back
Top Bottom