Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,224
- 16,137
Jibu la kibabe hadi Mleta mada kachekea chooni.wewe uliacha au bado unaendelea kizitumia?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Jibu la kibabe hadi Mleta mada kachekea chooni.wewe uliacha au bado unaendelea kizitumia?
Ipi iyo?hata niolewe miaka kumi ya ndoa kuna style siwezi acha weeeee
Ngoma droo.Kama Mwanaume tu anamuhonga Mahela Mwanamke ila akimuoa tu kuhongwa kunaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata niolewe miaka kumi ya ndoa kuna style siwezi acha weeeee
ipi iyo binti yanguhata niolewe miaka kumi ya ndoa kuna style siwezi acha weeeee
tulia tu baba zipo style zangu pendwa siwezi achaipi iyo binti yangu
natakiwa kufanyajeUnaongea tu hapa!
tuliaIpi iyo?
udugu jamaniKwa nini niendelee na kampeni hali ya kuwa jimbo nimechukua.
tulia 😅😅😅😅niambie mimi kisirisiri
We tenguka kiuno ila hakikisha mchanganye mpaka akasimulie kwa washkaji😂😂😂Acha fujo kama jina lako mjomba, tukitenguka viuno je?😀
inamaana kwenye ndoa inakua it’s not about stareheMbunge wa jimbo lako wakati wa kampeni kuna vitu aliahidi je, vyote katekeleza?!!
Hizo mbwembwe za kampeni ili ukamatie jimbo