Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Sasa kwani ww unaexpect penzi liwe chachu kwa vile mshavuka uchumba?

Hapo msijitetee kabisa yani maana ili penzi likolee utamu ni lazima mwanamke aoneshe mahaba ya hali ya juu kwa kidume na kuonesha kumuhitaji first. Then kidume atabehave the right way as long as unamvutia in a special way na anapata anachotaka bila complains. Kabla ya ndoa mahaba full wala hamu demand favors ili kuonesha mapenzi.

Thats how you trap us into marrying you ila mkishaolewa yale mliofanya ili kutuvutia tuwaoe yanakata ghafla. Hapo kibao tunageuziwa sisi kwamba hatuleti zawadi wala hatuwatoi out. Sasa utamtoa out mtu ambaye hakuvutii kumtoa out? Ana kiburi na hakupi amani kama awali analazimisha usawa na kuona kama kuku treat vizuri ni kukufanyia favors. Hio two way traffic inakujaga baada ya kuvishwa pete eeh,,acheni visingizio women.

Mbona mchepuko anafanyiwa mazuri kuliko mke tena wala halazimishi inakuwa automatic anapewaga. Ina maana mwanaume ni chizi? Hell no!!!

NB: Hamna mume anayechoka kumpenda mke mwenye hekima na mahaba. Ukiona mzee anasubiria mkewe atie sahihi maamuzi yake ujue ndio kama hivyo yani 😁😁😁
 
Acha tu boss. Nina Mwanamke wangu nampenda na namuhudumia lakini ana kiburi cha kizaliwa wala hafanyi makusudi imebidi nimchunguze mama yake na ni vile vile.

Nimenyoosha mikono
Hawa watu ni pasua kichwa sana.
 
Asilimia 90 ya wanawake kichwani wameweka tu neno NDOA lakini nini cha kufanya baada na ndani ya ndoa is non of their business.
Kwa sababu ninyi ndio mnatulisha sumu kuwa heshima ya mwanamke ndoa kwa hiyo mtu hata kama hapendi ndoa atalazimisha kuolewa ili apate hiyo 'heshima'
 
Hivi kuna kingine cha kuongezea tena hapa? Umemaliza kila kitu
 
Mke wangu eti anipangie mgegedo!hilo haliwezekani na talaka itamuhusu ndani ya masaa 24
 
Kwahio unataka ku justify nini? Hili swala la kazi mbona linatumika kama ishu sana wakati wengine baba zao walipoyumba kiuchumi mama zao walijitoa muhanga wakaendesha familia bila kuleta dharau kwa wazee wao na wapo humu.

Acheni ubinafsi aisee, kwa akili hizi mume akipata ulemavu hata uji atapikiwa kweli? Mi mwanamke wangu ntaishi nae the old fashioned way na tutakwenda vuzuri tu.

Kama mwanamke hawajibiki kwa lolote kwenye ndoa sidhani kama anastahili kuwepo ndani ya hio taasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…