Wanawake wakati mwingine, hapana jamani!

Mkuu pole sana na inasikitisha sana, pesa ni tamu sana na pia ni mbaya sana na haina rafiki, mpenzi, ndugu, humantarian, hekima, busara nk... Pesa inatoa watu roho sembuse kununa, ingawa pia mwanamke ana jinamizi lake hapo..
Ndo hivo mkuu, kaninunia ni balaa,
 
Tatizo la hawa watu huwa wanaona kusaidiwa na mwanaume ni haki yao.ukimyima utasikia,jamaa bahili hili pyuuuu
 
Gegeda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…