Wanawake wahenga wanajua sana mapenzi

Wanawake wahenga wanajua sana mapenzi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,976
Reaction score
42,210
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Katika pita pita yangu ya hapa na pale katika ulimwengu wa mahaba nimegundua wanawake wahenga ambao wamezaliwa miaka kuanzia ya 1970-1989 ni hatari muwapo katika sita kwa sita yaani siyo magogo kama hawa wasichana wa kidigitali.

Kwa wale ambao washawahi kukutana na wanawake wahenga wataelewa namaanisha nini. Yaani utalambwa kila sehemu hata kama ukiwa mchovu unaishiaga round tano kama mimi siku hiyo utafika hata round nane au tisa.

Sijutii kuwafahamu wanawake wahenga mbarikiwe sana popote pale mlipo mjue mimi nawapenda sana jamani.

CC MBITIYAZA


LONDON BABY
 
Round nane au tisa umesikia hiyo ni boxing ya kina Tyson na Mayweather!?? Hapo bao nzitonzito zinatoka kweli au ni upepo tuu!??
Mbona kwangu hizo ni kitu kidogo sana tena zile za dakika 50-65
 
Back
Top Bottom