Wanawake wa TANGA ni noma

Wanawake wa TANGA ni noma

Sikununu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
341
Reaction score
101
Nilikuwa nasikia tu mambo ya mabinti wa Tanga wanavyojua kubembeleza wanaume sasa ndio nmeamin maana hivo visanga ninavyopewa na huyu binti nimebaki kucheka cheka tu mpaka nimehamia kwake kutoka hotel niliyopangiwa na kampuni, kiufupi tumekuja kwenye semina ya wiki mbili pamoja na work shop.

Sasa nikapewa tahadhari kabisa wakati ninaenda kwamba huko tanga mabinti wake hatari yaani mda wote khanga moja bila kuvaa pichu, mie nikajifanya nunda kwamba siwezi kunasa mie kanda maalumu bwana...eeh kuna jamaa akanihadithia kwamba kuna mzee mmoja tokea aje kwenye baseline survey mwaka 94 mpaka leo kanasa kurudi hataki.

Kuna mwaka mmoja alijitahidi kuondoka mpaka na tiketi ya gari kakata na kupanda Basi la Raha leo ile kufika pale daraja la wami akamwambia dereva naomba unishushe nimesahau koti langu tanga nataka nilifate, dereva akawa hana budi ikabidi amshushe yule mzee mbio kurudi Tanga mpaka leo yupo kule familia yake ndio inalia huku Dar.

Huyu mtoto kusema na ukweli kanikamata mpaka naona kama historia ya kusahau koti itajirudia kwangu.Ilianza kama mzaha nipo hotel room nikasikia hodi nikajua wahudumu kwenda kufungua nikakuta mwanamke ananiambia sory kaka nmepotea room nikasema poa, eeh huo mchezo umeendelea kama mara tatu hivi.

Wanawake tu ndio wanapotea room nikasema msinitanie nyie mje mseme mie kibisa.Kabla sijahamaki limekuja toto hilo kama mjukuu wa mfalme suleimani kanigeuzia mgongo nikamuwai kabla hajasema lolote hujapotea chumba ndio hichi hichi na yeye akaitikia haya, yaani kilichotokea mpaka leo nmehamia kwake chai tu inaungwa kama biriani.

Naombeni ushauri nifanyeje kabla na mie sijasahau koti
 
Ungekuwa umenaswa kweli usingeandika ulichoandika ungeona kila kitu sawa.We subiri simana ikimalizika urejee home.
 
Ungekuwa umenaswa kweli usingeandika ulichoandika ungeona kila kitu sawa.We subiri simana ikimalizika urejee home.

Kweli Mkuu nashukuru sijanaswa...maana mie natoka kanda maalumu
 
Ulikua unawaza Leo siku itaishaje haujaclick new post!!

Ninachokisema ni kweli Dada yangu..mpaka staff wenzangu wananitania nitakapokuwa nafanya retirement ya per diem eti nimuattach
 
Kuna wakuu humu JF tukiwakutanisha na wakae wiki moja tu,hakika wachanganye stori zao naamini wana JF wote tutapata hela ya kujikimu na kuiteka Hollywood...😀😀:thumbup::thumbup:
 
Ninachokisema ni kweli Dada yangu..mpaka staff wenzangu wananitania nitakapokuwa nafanya retirement ya per diem eti nimuattach

Wapi huko mkuu mna-retire per diem badala ya imprest?
 
Wapi huko mkuu mna-retire per diem badala ya imprest?

Mie najua basi nmekariri tu per diem ni pesa unayopewa safarini retirement ni mchanganuo wa yale uliyoyatumia..correct me if I'm wrong.
Mie sio muhasibu
 
Back
Top Bottom