Ahsante kwa ufafanuzi na kunielewa muhasibu.
Itajeni basi jamani tuiepuke wenzenu tuna roho nyepesi mjue...
Ki vipi mkuu
Mkuu nipo Nje ya Tz ila next week nna assignment Tanga nikirudi Dar. Embu ni PM maeneo ya hatari.nijahadhari hii ishu ya kurudia koti miaka mitatu ujarudi Dar.ntaua familia.please nipe ramani hili nijue wapi akuna landmines nisarimike