Wanawake wa TANGA ni noma

Wanawake wa TANGA ni noma

Kitanda kimemwagiwa asumini!subiri siku ya kuondoka nguo zote zitakuwa kwenye maji yaani zitalowekwa hapo ndo Kijasho kitakutoka.Ila nikisoma jina lako napata picha ya sikununu wa sani nabaki kucheka.
 
Hakuna wanawake pasia kichwa kamahao wa Tanga,hata umpe kilakitu bado lazima awe nabwana nje, alafu wanakelele sana yaani nyumba haikaliki.
Pumbavu kabisa wanawake wahuko yaani sitaki hatakuwasikia
 
Hakuna wanawake pasua kichwa kamahao wa Tanga,hata umpe kilakitu bado lazima awe nabwana nje, alafu wanakelele sana yaani nyumba haikaliki.
Pumbavu kabisa wanawake wahuko Tanga.yaani sitaki hatakuwasikia.
Kifupi hao wanawezana wao kwawao sasa wewe toka zako bara uende ukaoe uko utajuta. Wananidhamu mwanzoni tu ila akishaingia ndani ndio utajua tabia yake.
 
Naniuuu bwana ni kweli....hapa nipo nakunywa uji wa hiriki, uku nimevalishwa msuli...kibalazani
Sema mie lazima nmtoroke we subir tu.

Ukifanikiwa kutoroka lete mrejesho. Ila stori yako nimecheka sana.
 
Ushauri gani unataka mkuu? Hebu acha kuendekeza uzinzi,fanya kazi then rudi kwenu
 
Yaani wanawake wa tanga wako that much of prostitutes! Ni matusi kwa makabila ya wenzio!

Prostitute is legal somewhere mjomba...na hakuna kabila ambalo hawafanyi nina uzoefu wa kukaa na makabila zaidi ya 14 katika mikoa yao na kujua tabia zao..therefore sija tukana.
 
Hakuna wanawake pasia kichwa kamahao wa Tanga,hata umpe kilakitu bado lazima awe nabwana nje, alafu wanakelele sana yaani nyumba haikaliki.
Pumbavu kabisa wanawake wahuko yaani sitaki hatakuwasikia

Sasa wewe unatafuta ugomvi na watu huko kote ulipofika kwa nini?
Mie nmeelezea yalinisibu
 
Unatupa story kuhusu changudoa

Kwa hiyo.....mbona hata humu MMU machangudoa wapo, we ujawai kusikia wanauza tena hadharani sijui sitoi bure bora iliwe na nyerere aahh nimekosea nyenyere...tena wanatuita free P.
 
Ni hotel gani hiyo na mm Nije nipEwE mambo ya totoz za kitaanga
 
Ukifanikiwa kutoroka lete mrejesho. Ila stori yako nimecheka sana.

Mi namtegea hapa coz tumemaliza jana jioni...vitu vyangu muhimu nmeshaamisha nmebakisha malonya lonya tu....nilivyomwambia naondoka kasusa balaa ilo domo anavyosonya utafikili anapuliza moto ila jioni lazima nipenye..
Mie kanda maalumu bwana.
 
Mie najua basi nmekariri tu per diem ni pesa unayopewa safarini retirement ni mchanganuo wa yale uliyoyatumia..correct me if I'm wrong.
Mie sio muhasibu
Khaa!! Kiongozi kweli huyo kakuchanganya. Wanazuoni wanaita ''new experience" :glasses-nerdy:
:glasses-nerdy:
 
Da hiyo ndio tanga aise mie mwenyewe kuna baba yangu mkubwa alipotelea huko huko mpaka wa leo
 
Tuseme hivi, per diem ni sehemu ya imprest. Vitu vingine ni kama hela ya nauli au usafiri (mafuta, matengenezo nk) kama unatumia gari la ofisi kwa mfano. Kunaweza kuwa na vitu vingine kutegemea aina ya kazi. Wengine wanapewa hadi ya kuwalipa vibarua, stationary nk

Kwa hiyo per diem ni item moja tu kwenye imprest. Lakini naelewa kwamba kwa wengine per diem ndio kila kitu hamna cha ziada kufuatana na hali halisi ya safari.
Blaza, hivi ukipewa hela ya per diem, how do you retire? una attach receipt gani? ama unatengenza simple form unaonesha how many days, wapi, kisha tarehe na signature yako?
 
Back
Top Bottom