Wanawake wa TANGA ni noma

Wanawake wa TANGA ni noma

Najua ipo hotel flani tanga, wadada huwa wanapotea sana vyumba, yalishawahi kunikuta ila mm nilijikaza kiume, hii hotel ikifika saa saba tu mda wa kula imejaa hamna vyumba
 
Mie najua basi nmekariri tu per diem ni pesa unayopewa safarini retirement ni mchanganuo wa yale uliyoyatumia..correct me if I'm wrong.
Mie sio muhasibu

Tuseme hivi, per diem ni sehemu ya imprest. Vitu vingine ni kama hela ya nauli au usafiri (mafuta, matengenezo nk) kama unatumia gari la ofisi kwa mfano. Kunaweza kuwa na vitu vingine kutegemea aina ya kazi. Wengine wanapewa hadi ya kuwalipa vibarua, stationary nk

Kwa hiyo per diem ni item moja tu kwenye imprest. Lakini naelewa kwamba kwa wengine per diem ndio kila kitu hamna cha ziada kufuatana na hali halisi ya safari.
 
Itakuwa hiyo hoteli uliyofilia ndiyo mchezo wao. Tena siyo kwako tu kwa wageni wote wanaofikia hapo.
 
Nakuona mzee umekalishwa kwenye kigoda halafu kengele zimewekwa kwenye kisosa
 
Nakuona mzee umekalishwa kwenye kigoda halafu kengele zimewekwa kwenye kisosa

Haaaaaah haaaaaah ni hatareee alafu zinaoshwa na limao na ndimu huku being sucked yaani hizo yeleuuwiiii ni zaidi yaza kifo utamu kuliko mautamu..!
 
Pole sana. Ila hilo zigo angalia sana na sio kua wanakosea ni vicheche na ndio wapo kazin
 
fanyA mpangO mkuu uruD hukO cyo kuzur kuna rafik yang mmoja yupo hana mishe za maana yupo na jmama hataki hata kurud wazaz dar wanalia wanajitahid kumtafutia kaz nzuri lakini yeye ndo kwanza anawauliza wazazi wake kwamba akija kufanya hyo kazi anaweza kuhamishiwa tanga
 
hahahahahh sukununu napenda storu zako kila nikimaliza nasema HUYU JAMAAA HAMNAZO KWELI

PLZ USIACHE KUTUNGA NYINGINE NYINGI
 
Najua ipo hotel flani tanga, wadada huwa wanapotea sana vyumba, yalishawahi kunikuta ila mm nilijikaza kiume, hii hotel ikifika saa saba tu mda wa kula imejaa hamna vyumba

Waambie kaka wanajua mie nmetunga...
 
Tuseme hivi, per diem ni sehemu ya imprest. Vitu vingine ni kama hela ya nauli au usafiri (mafuta, matengenezo nk) kama unatumia gari la ofisi kwa mfano. Kunaweza kuwa na vitu vingine kutegemea aina ya kazi. Wengine wanapewa hadi ya kuwalipa vibarua, stationary nk

Kwa hiyo per diem ni item moja tu kwenye imprest. Lakini naelewa kwamba kwa wengine per diem ndio kila kitu hamna cha ziada kufuatana na hali halisi ya safari.

Ahsante kwa ufafanuzi na kunielewa muhasibu.
 
Back
Top Bottom