Wanawake wa siku hizi bana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa siku hizi bana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by adakiss23, Sep 12, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,198
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Yaani mnamkuta mdada.. Asubuhi akiamka yuko Bar anakula supu mchana Bar tena chips jioni yuko ktk pedicure n manicure anajiandaa na mtoko. Usiku ukiingia yuko Bar tena nyama choma na bia. Sasa unajiuliza hivi huyu anapika saa ngapi? Anafanya usafi saa ngapi? Ukimuoa mdada kama huyu si unajiandalia ugonjwa wa moyo? Je ataleaje watoto? Au ndo walewale anamnyonyesha wiki 1 then maziwa ya kopo yanahusika. Ndo wonda mitoto ya siku hizi vichwa maji cz tangu tumboni keshakunywa bia viroba konyagi maziwa ya kopo ya kutosha. Badilikeni dadazangu! Othawize mtamegwa sana na minjemba.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  hizo nyama choma na bia ulitaka wanaume wale wenyewe?
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,886
  Likes Received: 5,125
  Trophy Points: 280
  Hapa anataka kusema kuwa angalau awe anapika
   
 4. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,651
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  kila nabii na wakati wake' hiki ni kizazi cha dotcom
   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  unataka single ladies wakae nyumbani wafanye nini?? enjoy life while you can, hayo ya watoto yatakuja after 10 pm
   
 6. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  non sense speaking
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,500
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje . . . . . . . . !!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  hayo mashankupe ya Magomeni unayoyatumia huu ujumbe.....yamo humu JF.....?
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  yaprintie eti! wewe huli nyama choma Asprin njoo kuna mtu anafukuza viburudisho vyako kaunta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. M

  Mundu JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Punguza munkari kaka, duh! habari za huko uliko kwanza?
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,467
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ushachakachuliwa jomba?!mbona unalia hivo?!
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,282
  Likes Received: 4,253
  Trophy Points: 280
  ungemueleza mhusika ungemsaidia sana.....
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Watu kama hao unawachana live on the spot...
   
 14. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wote mnaotoa povu kuna wezekano jamaa kawagusa kinamna...!!!!!!poleni bana, nenepeni sanaa muwe na matumbo makubwa na mavitambi ka mlima, maana mmeona cha kuiga ni misupu na kunywa bia zisizo na staha..
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,114
  Likes Received: 6,860
  Trophy Points: 280
  Give me a breaaaaaaaaak! We ushaona huyo dada bado hajapata mwenza, sasa hizo ni katika promo, biahsara ni matangazoo! Ohooo! Unataka ashinde na mkaa jikoni afu nani amuone? Muuza mkaa au samaki? Aaaaah! Mwache mwenzio aende sehemu kwenye inteterlect minds apate nae interlectual wake! Samaki havuliwi shambani katuuu! Hizo manicure muhimu, we mkeo kakomaa mikono kwa kufua nepi na kodrai zako, utataka nyumba ndogo mikono lainiii!
   
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,038
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  Siku kuna buzi mmoja analipia
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,976
  Trophy Points: 280
  Style ya kurusha jiwe gizani atakayesema anhiiiiiii ujue limempata.
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 280
  ningeweza kumuelewa mwandish kama angeniambia ni watu wa aina gani ambao yeye anawaongelea. kama bidada hiyo ni hobi yake unataka ake numban kufanya nini? kuna watu hobi zao ni kwenda bar for a drink na kupiga story kuna wengine hobi ni kwena na hubbys maeneo yao kula bata sasa sijui wewe unasema haya kivipi.

  mwanamke anajipamba na lazima aende salun swala la kunyonyesha nalo linaegemea kuna wengine wananyonyesha hata mika 3 lkn kwenye vitivirefu huwakosi inategemea tu ameschedule vip ratiba yake. manake anakamua maziwa anayaacha kwa ajili ya mtt.

  haya ambao ni singles that is their time sijui kwanini unaumia sana ukawasahau vijana wanaoshinda wakicheza pool table siku nzima kijiwen huku wakigida mvinyo na manyama.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa uhusiano wa hii sentenso na suala la kumegwa.
  BAK, naomba unisaidie kumuwekea huyu ndugu ile wimbo ya Nyoshi El sadaat 'Sio kila mwanamke aendae bar ni malaya'
  Natanguliza shukrani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,019
  Likes Received: 8,468
  Trophy Points: 280
  Haahahahahahahahahahahaaha
  da umenikumbusha dada mmoja anaitwa Natalia   
Loading...