Wanawake wa siku hizi bana!

Ndugu yangu kina dada kama hao wengi unakuta ni warembo sanaa tena sana,,Sasa basi kilichopelekea wao kuwa hivyo ni kulewa sifa za uzuri waliokuwa nao.Wengi walikimbia shule wakitegemea kuwa mrembo ndio kufanikiwa kimaisha kumbe nyakati zinabadilika na wanaume wajanja cku hizi wanaangalia wanawake wenye ku focus na future na wenye akili ya kupambana na vikwazo mbalimbali ili kufikia mafanikio.Sasa basi wanaume wa cku hizi wanawatumia wanawake kama hao kwa ajili ya showoff ,Yani wewe ukitaka kwenda samaki samaki or anywhere else (kwa wauza sura) unalipigia limoja simu unaenda naye mnakula bia unajigongea then unaendelea na maisha yako.Na ili wasishuke kiwango lazima utawakuta saloon muda wote.kwa kifupi siyo wanawake wa kuoa ni wakutumia na kuacha NANI ANAYEHITAJI PRESSURE???
 
Napenda ofa ya supu kama nini aumchemsho
Biya hapana

Ile kitu ntakuja nayo, inafaa sana ukishapiga ugali na pork ribs

(Nimeanza kupenda kupika, ntakuja na 'recipe ya gangstress pap', sitaki mateka aone sipendi kupika)

Hahaha!
Eti wapi ntapata supu saa hizi? Naona hapa kwa mangi wameshaitia maji,lol! Jioni uje na you-know-who kwenye ile ofa yangu plz, nna tuhela twa pensheni
 
Kwahiyo unataka kuhalalisha nikikuoa nkale kwa mama lishe cz hujui au hutaki kupika??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwa mimi hapana.
Napenda na nnajua kupika kwahiyo mwenzangu kala bingo kwenye hilo.

Alafu 'uhalalisho'unafanya wewe. Kwanini umchukue mtu asiyekidhi vigezo ulivyojiwekea kama ni muhimu sana?
 
Kwa mimi hapana.
Napenda na nnajua kupika kwahiyo mwenzangu kala bingo kwenye hilo.

Alafu 'uhalalisho'unafanya wewe. Kwanini umchukue mtu asiyekidhi vigezo ulivyojiwekea kama ni muhimu sana?


Kumbe nimekula Bingo!! Namshukuru mzazi wako kwa hilo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom