Wanawake wa sasa mna nini?

Wanawake wa sasa mna nini?

Huu ukweli hamtaki kukubali wanaume kabla hujatongoza ni bora uongee hali halisi kabla vizinga havijaanza,tatizo ni waongo haijawahi kutokea.
 
Mkuu hakiwezekani kitu kama hicho mwanamke umtongoze kwamba mfano huna kazi au unafanya biashara ndogo kipato kiasi akupige kizinga never kwanza kukubali 100 kwa mmoja ila ukijifanya laki si pesa vizinga kama kawaida. Beby nikwambie kitu lazima hiyo
Sikulazimishi kama hautaki kuamini
Yupo mmoja nilimkuta anafanya kwa kua nilimpenda na mazingira ya sehemu aliyoajiriwa pamoja na ugumu wa kazi aliyokua anaifanya sikufurahishwa nayo nikaamua kumfungulia biashara yake mwenyewe na kwa siku anaingiza si chini ya 50,000/- lkn bado haoni hata aibu kuniomba nimnunulie kitu cha 10,000/- na sio kua anaomba mara moja moja.
Umatonya upo damuni karibia wanawake wengi kwa sasa.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Mkuu tunamalize utata ushindi nakupa 🙌🙌🙌🙌
 
Kuitwa mume kwangu sidhani kama ni shida we niite vyoyote unavyojisikia hata ukiinita my stigla joji au my standadigeji sawa tu ili mradi usinitukane au kunipiga vizinga vya kipumbavu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Nimecheka mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wamekua kama vichaa mara utasikia simu imeharibika,njaa,nauli,vocher etc kuja kugundua jamaa alikua serious its too late kashaliwa na kufyekelewa mbali.

Na ndio unatakiwa fany hivyo...kuwala na kusepa zako usiweke kituo utaumia
 
Back
Top Bottom