Wanawake wa sasa mna nini?

Wanawake wa sasa mna nini?

Habari za wakati wana jukwa!

Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada.

Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.

1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile,pesa,sijui hiki wala kile.


Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije?

Je hapo kuna mapenzi au umepata pa kutatulia shida?


2.Utaitwa mme.

Kama siku 2 tu nakua mme je nitakuaoa kweli?


Au mimi tu ndio nakutana na haya kwenu hali ikoje?
Baadhi ya wanaume mnachosha kwa kulalamika aisee huna pesa kabla hujatongoza mwambie mwanamke mapema mimi Sina pesa yeye ndio atakua muamuzi akubali ama la, Tatizo hamuwezi kusema ukweli mkija ahadi kibao oooh nitakuoa nikubali , oooh pesa kwangu sio tatizo why mwanamke asiombe.
 
Kabla hujakuwa na mwanamke kwenye mahusiano muambie/mueleze hali halisi kuhusu wewe kiuchumi upo vizuri ama la.
 
Wanawake wa siku hizi njaa tupu ukitongoza mara ya kwanza itapita siku moja utasikia kesho kutwa baby birthday yangu njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom