Wanawake wa sasa mna nini?

Wanawake wa sasa mna nini?

Ila pia dau lao siku hizi ni wastani tu hawana makuu, lile neno laki si pesa halipo kabisa sijui kwenu huko.
 
Habari za wakati wana jukwa!

Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada.

Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.

1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile,pesa,sijui hiki wala kile.

Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije?

Je hapo kuna mapenzi au umepata pa kutatulia shida?

2.Utaitwa mme.

Kama siku 2 tu nakua mme je nitakuaoa kweli?

Au mimi tu ndio nakutana na haya kwenu hali ikoje?

Wanaume hatujui hata tunataka nn!
Sasa kama anakupa mahitaji yake si ndiyo mzuri kama kakubadhi pia papuchi yake?
Mwanamke anahitaji huduma kabla na baada ya kukupa papuchi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
.
Meme%20Creator_1546402154836.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanaume mnachosha kwa kulalamika aisee huna pesa kabla hujatongoza mwambie mwanamke mapema mimi Sina pesa yeye ndio atakua muamuzi akubali ama la, Tatizo hamuwezi kusema ukweli mkija ahadi kibao oooh nitakuoa nikubali , oooh pesa kwangu sio tatizo why mwanamke asiombe.
Tatizo lenu kubwa nyie mabinti hampendi kuambiwa ukweli, mtu akikuambia ukweli unahisi kama vile hakupendi mnachotaka ni kusifiwa na kudanganywa danganywa tu.
Ndio maana sasa hivi vijana wengi wanahamishia nguvu zao kwa mijimama na wake za watu maana huko hamna usumbufu na mizinga ya kipumbavu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Wanadanganyana saluni kwamba ukimuita mwanamme wa Dar mume wangu basi atachanganikiwa na kukupa kila kitu ili utatue matatizo yako.
 
Mkuu binafsi nimekuelewa Asante kwa ushauri.
 
Wanadanganyana saluni kwamba ukimuita mwanamme wa Dar mume wangu basi atachanganikiwa na kukupa kila kitu ili utatue matatizo yako.
Kuitwa mume kwangu sidhani kama ni shida we niite vyoyote unavyojisikia hata ukiinita my stigla joji au my standadigeji sawa tu ili mradi usinitukane au kunipiga vizinga vya kipumbavu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Kuitwa mume kwangu sidhani kama ni shida we niite vyoyote unavyojisikia hata ukiinita my stigla joji au my standadigeji sawa tu ili mradi usinitukane au kunipiga vizinga vya kipumbavu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mkuu vizinga vinapigwa ukipata mwanamke ambaye hana kazi/biashara yupo tu home hao ndio piga ua hata vocha utapigwa.
 
Mkuu vizinga vinapigwa ukipata mwanamke ambaye hana kazi/biashara yupo tu home hao ndio piga ua hata vocha utapigwa.
Hamna sasa hivi kupiga vizinga wanawake mnaona kama ndio fasheni
Mwanamke anaweza kua na kipato chake kizuri tu lkn bado akawa anakupiga vizinga tena vya kipumbavu.
Mi binafsi nikimpenda mwanamke hua sisubiri mpk niombwe, hua nnajiongeza tu mwenyewe na pia kwangu hua najiskia fahari kumsaidia mpenzi wangu akiwa na shida bila hata yeye kuniomba.
Ila nnaweza fanya hayo na vizawadi vya hapa na pale halafu bado akakwambia
Baby nikwambie kitu?

Usimpatie pesa, muambie ukweli tabu yenu wanaume ni kwamba mkiwa mnatongoza hamuongei hali halisi kuhusu kipato chenu 🤣🤣🤣vizinga vinapigwa ila kiakili.
 
Sema tu
Ungetumia Id yako ya zamani ili mhusika apate ujumbe wako moja kwa moja.
 
Usimpatie pesa, muambie ukweli tabu yenu wanaume ni kwamba mkiwa mnatongoza hamuongei hali halisi kuhusu kipato chenu vizinga vinapigwa ila kiakili.
Shida wala sio kuongea ukweli wkt wa kutongoza, mi nikikufata kukutongoza hua nnajifanya kapuku tu tena nnaweza kukuomba uninunulie hata maji ya kunywa.
Shida yenu kubwa kwa sasa ni tamaa na pia hamridhiki hata mkipewa kikubwa,
Sasa hv mabinti wengi mna DNA ya matonya hamtosheki hata na kikubwa mnachopewa.

Mkuu hakiwezekani kitu kama hicho mwanamke umtongoze kwamba mfano huna kazi au unafanya biashara ndogo kipato kiasi akupige kizinga never kwanza kukubali 100 kwa mmoja ila ukijifanya laki si pesa vizinga kama kawaida. Beby nikwambie kitu lazima hiyo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom