UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,384
- 980
Mimi ni ME lakini to be honesty mnawashambulia sana wamama/wadada.SMH
Hayo maswala ya ku cc watu hasa wa kike nina wasiwasi nao, is everybody dating miss chagga in this damn Forum?
Mimi ni ME lakini to be honesty mnawashambulia sana wamama/wadada.SMH
Mmezidi sasa heeenh hiv wewe apo umekamilika???? Yawezekana.ww ndo.chachu ya mwanamke wako kuwa na matatizo.hebu jiangalie kwanza wewe
eti we ndo miss chagga?
Hapana mie n mamafacebook
Mmezidi sasa heeenh hiv wewe apo umekamilika???? Yawezekana.ww ndo.chachu ya mwanamke wako kuwa na matatizo.hebu jiangalie kwanza wewe
na jina lako halisi? ama unamaanisha we ni Mrs. Zukerberg?
Sioni tatizo hata zikiwekwa thread mia kuhusu wanawake au wanaume
Kama hatuna majibu sahihi nadhan tungekaa kimya hzo hasira za kitoto sidhan kama zinasaidia chochote wakat wote tunajua this shit is happening
Kama hufanyi z gud changia.kwa unachojua