Wenzako wako bize kuwekeza Mwanza wewe unapaponda kila siku! Jitahidi uende usiangalie watu wa Mwanza saizi Mwanza sio ya Wasukuma tu ambao unawaita washamba!Mwanza huwa napaona pa hovyoo sijui kwanini?🤔...halafu mtu angefanya nini akiwa mwanza huwa namuona mshamba.....mwaka 2022 nimepata sana pesa lakini sikuwahi kutamani kwenda kufanya starehe yoyote mwanza kwa sababu huwa napadharau saaana tena sana
Bei zako zimekaaje aese? napataje nawasiliano yako aese? Au njoo inbox!Mbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Wewe sasa naona tatizo lako sio Mwanza! Tatizo lao ni wasukuma wanaoishi Mwanza hutaki kabisa waonekane wasukuma hapoa mwanza!Jiji gani hilo katikati ya mji watu wanabishana mpira wa simba na yanga kwa kisukuma, sijawahi kutamani kuishi mwanza hata wiki moja.
Unaona sasa point huna ila unachuki na wenyeji wa mwanza! Basi waue wasukuma wote maana hata hapo Dar wapo wengi tu huko kigamboni na maeneo mengine!Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Shida ya wasukuma ukabilaWewe sasa naona tatizo lako sio Mwanza! Tatizo lao ni wasukuma wanaoishi Mwanza hutaki kabisa waonekane wasukuma hapoa mwanza!
Na kwa taarifa yako Wasukuma mwanza hawawezi kutoka maana wale sio wazaramo maana kama ni kuzitafuta hela wanajua na nyinyi wahamiaji njooni tutafute riziki maana waswahili husema riziki popote!
Mwanza kama unaichukia kwa sababu wasukuma wanabishana mambo ya mpira kwa kuongea lugha yao ya asili basi umepotoka sana maana kisukuma ni lugha tu kuna watu mwanza ni wahaya ,wakurya au wanyiramba wanajua kuongea kisukuma na usikariri kila anaeongea kisukuma ni msukuma!
Mwache jamaa kazi yake akikutana na mtu wa Mwanza ni kutafuta ushamba ndani ya huyo mtu! Watu wanamaisha makubwa huliko yeye anayekaa huko uswazi Dar! Hakuna mtu makini anaejua wapambanaji hapa Tanzania akawabeza watu wa Mwanza!unatukosea ndugu au tukutumie samaki tumboni ujue unamimba
Hakuna ukabila kwa wasukuma kama wasukuma ni wakabila hakuna kabila Tanzania lisilo na ukabila! Tatizo mnapenda kuwaona wasukuma wawe chini yeu kwa kila kitu laikini hilo sio jepesi maana kibiashara,kielimu na sekta zingine kama madini na kilimo wanafanya vizuri!Shida ya wasukuma ukabila
Wanasema kama yoriyori😅Kumbe vp wana chura lkn
"Bando na waziri" ndiyo nini mkuu?Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Sato wa SingidaniMbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Nimeishi Usukumani sana na ndio nilipo hadi sahv ninakofanyia kazi Nakiri kabisa WASUKUMA hawana ukabila shida usipowaelewa ile tabia yao ya kupenda kuzungumza sana kilugha unaweza jua ndio ukabila wenyewe ila hawana ukabila kabisa!!!Shida ya wasukuma ukabila