Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.
Me nawapenda hao hao pasua kichwa coz akileta za kuleta unamletea mwenzake achague moja kuchinja au kunyonga!
Na wanawake wa aina hiyo cannont stand such nonesense eti wamtishia kumleta mwanamke mwingine alaa well na mkae kwa amani!
Na wanawake wa aina hiyo cannont stand such nonesense eti wamtishia kumleta mwanamke mwingine alaa well na mkae kwa amani!
Jinsi ulivyojibu kwa mkato na kwa hasira flani..bila kumpinga kwa hoja naona kama imethibitisha madai ya jamaa au..!?You are weak...
Mnavyojibu kwa mkato na majivuno hivi ni kama mnapigia mstari hoja ya jamaa..hasa wanawake wa kibongo..Inferiority complex.
Alivyojibu kwa mbwembwe bila hoja mm naona anapigia mstari maneno ya mahkaji tuUmenikosha kwa jibu murua ulilompa. Mtu anayejielewa na kujiamini hawez hata siku moja akatishika na visasi vya kipumbavu.
Mkuu kuna wanawake wenye "kujiona" wana uwezo mkubwa na kuna wanawake ambao actually "wanao" uwezo mkubwa. Hao wawili wana tofauti....ishi na mwanamke kwa akili haijalishi yuko level gani....ukiijua nafasi yako kama mwanaume hawa watu hawapindui mm napenda wanawake wenye kujiona wana uwezo mkubwa nazipenda sana changamoto zao .