Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,641
Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie endeleen kula beef burger na viepe😎
Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie endeleen kula beef burger na viepe😎
😛😛😛😛Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika.Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721
Sikuhizi umehamia mkoani mama..!Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721
Mi napenda mboga za majani aiseeHizo kabeji hazijazi upepo tumboni, na mnavyokuwaga na aibu kuachia drum 😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanawake wa Dar punguze kupenda Chips kuku, pendeleeni kula hata ndizi na samaki, au nyama,
Hapo ni halmashauri ya jijiHapo mbona kama kisuma bar mwembe yanga Mama Sabrina[emoji3]
Mi sio wa dar toka zamaniSikuhizi umehamia mkoani mama..!
[emoji23][emoji23][emoji23]mnakula mavyakula magumu.ndo maana mkashindwa kujiokoa kwenye Mv nyerere.
Mtu mmoja anakula ugali kilo 2.utaweza wapi kuogelea.
Mgiftishe mwenzio yanini kumnyima kitu ulichopewa bureChizi wewe
[emoji23]wanawake wa kisukuma mko vizuri
NisaidieMgiftishe mwenzio yanini kumnyima kitu ulichopewa bure
Mimi nina dushe....Nisaidie
Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721
Hahahaha tunatembeajeKuna ukweli fulani si kwa stamina hii. big up wa mikoani. Tatizo bado ni kuvaa na mwendo maana munavyotembea chaaa