Jason Statham2
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 696
- 1,017
Hahahaha tunatembeaje
Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh.
Hahahaha tunatembeaje
Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh.

tuacheeeWanawake wenzao wapi hao? mkoani haimaanishi ni kijijini. Kuna mikoa iko vizuri kimaendeleo. Si watu washamba kama unavyodhani.Sifa za kijinga.. wanawake wenzenu wamefanya mapinduzi makubwa kwenye sayansi na uchumi nyinyi huku mnaona ufahari kula ugali na nyanya chungu
Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika.
Lakin sio kama unawasema wadada wa dar.. wazee wa mishkaki na zege?