kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 424
Watoto wa Kimbulu wazuri sana, whiteee!!, lainiii!!, wana asili kama ya Asia vile!!.
Nina mpango wa kudumu wa mwanamke nitakaye ishi naye maisha yangu yote nitamtoa huko. Jinsi ya kumpata, nitaenda mkoa wa Babati kwa kazi maalum ya kumtafuta na kumchagua ninayemtaka, nitazama bush ndanindani kabisa, huko nitapanga chumba kama miezi kadhaa hivi ya kufanya survey ya kumchunguza mtoto mkali na mwenye heshima. Nikishampata atanielewa tu, kutokana na tabia yangu ya upole, utu na kuthamini.