ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,866
- 3,248
sio mwanamke wa klabu tu usimuamini mwanamke yoyote duniani labda mama yako tu.
Umeandika kwa uchungu kweli bro.Naamini hakuna kitu nyuma ya paziaSheria namba moja usilale kwa mwanamke hata siku moja, fear women bro! Kuna wengine wako maofisini kabisa wana maisha mazuri lakini wanaume ndio wana walipia kodi, unaweza kuta anatembe na mume wa mtu uwa anaibuka mara moja moja anapiga mzigo ndio anaenda kwake. Usijaribu kabisa kulala kwa mwanamke hata akikubembeleza vipi wanashawishi sana ukipiga hesabu ya kukwepa gharama ila unaweza jikuta ndio unaingia gharama kubwa katika maisha yako na kujuta juu. Unaweza jikuta unapoteza maisha hivi hivi kisa nyege za muda mfupi.
Story nzuri ila sio yako.... toa credit kwa uliyecopy ni uungwana zaidi[emoji16]Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy nijaribu na hapo club twende tu.
Basi bila hat kuwaza na huku mamb si mambo tugaongozana tukafika kwakuwa alikuwa amelewa kiasi akajitupa kweny sofa moja TU ambalo lililokuweno ndani chumba chake Sasa wakati na mgusagusa c ndo tukasikia mlango unagongwa dah nilihaha
Sana akanieleza ww nijifanye ni kaka yake nimekuja kumsalimia nasoma chuo, bwanaaaa akanipa shuka nikalala pale kweny Kochi akaingia akanikuta akamuuliza Nani huyu? Akajibu "Ni kaka yangu amekuja kunisalimia ametoka chuo."
Jamaa akaingia chumbani kuanza kula vitu, sasa mm Niko nasikilizia sebleni, dah! Asubui ilipofika nikaaga kuondoka, jamaa akasema chukua hela ya nauli hii hap! Sikuamini Kam nimetoka salama.
Ha ha ha ha poleKuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy nijaribu na hapo club twende tu.
Basi bila hat kuwaza na huku mamb si mambo tugaongozana tukafika kwakuwa alikuwa amelewa kiasi akajitupa kweny sofa moja TU ambalo lililokuweno ndani chumba chake Sasa wakati na mgusagusa c ndo tukasikia mlango unagongwa dah nilihaha
Sana akanieleza ww nijifanye ni kaka yake nimekuja kumsalimia nasoma chuo, bwanaaaa akanipa shuka nikalala pale kweny Kochi akaingia akanikuta akamuuliza Nani huyu? Akajibu "Ni kaka yangu amekuja kunisalimia ametoka chuo."
Jamaa akaingia chumbani kuanza kula vitu, sasa mm Niko nasikilizia sebleni, dah! Asubui ilipofika nikaaga kuondoka, jamaa akasema chukua hela ya nauli hii hap! Sikuamini Kam nimetoka salama.
Itaendelea?Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy nijaribu na hapo club twende tu.
Basi bila hat kuwaza na huku mamb si mambo tugaongozana tukafika kwakuwa alikuwa amelewa kiasi akajitupa kweny sofa moja TU ambalo lililokuweno ndani chumba chake Sasa wakati na mgusagusa c ndo tukasikia mlango unagongwa dah nilihaha
Sana akanieleza ww nijifanye ni kaka yake nimekuja kumsalimia nasoma chuo, bwanaaaa akanipa shuka nikalala pale kweny Kochi akaingia akanikuta akamuuliza Nani huyu? Akajibu "Ni kaka yangu amekuja kunisalimia ametoka chuo."
Jamaa akaingia chumbani kuanza kula vitu, sasa mm Niko nasikilizia sebleni, dah! Asubui ilipofika nikaaga kuondoka, jamaa akasema chukua hela ya nauli hii hap! Sikuamini Kam nimetoka salama.
Inategemea na kochi uliokua nalo bro.Katika vitu cjawahi kuviweza
1.kulala kwenye kochi.
2.kulala kwenye bas ..siti ya bas usiku kucha
Ahahahahah ila ni kwel mkuu..inategemeana na kocho though standard zinafahamika na mimi sidhan kma nitawezaInategemea na kochi uliokua nalo bro.