Wanawake wa klabu si wakuwaamini kabisa

Wanawake wa klabu si wakuwaamini kabisa

Ila ujana una hatari nyingi sana [emoji1][emoji1] mimi nilikuwa naenda kumlia demu kwao [emoji1] nikikumbuka uwa najiona fala sana
Nilikuwa nina demu wangu kipindi icho sina ata hela ya gest na ninakaa hom..demu bi mkubwa anaduka kariakoo mshua Mshua wake yupo Tanrods kwaiyo ratiba zao demu alikuwa anazijua na demu mara nying alikuwa ijumaa anakuwa free aendi chuo na wazee wake walikuwa watu wa tungi sana iyo weekend kurud n saa 7 kuendelea

Basi mtu mzima ilikuwa kila ijumaa naingia kama kwangu vile uzur walikuwa wanakaa ushuan nyumba get hamna ujiran [emoji23] basi nikifika napikiwa mapochopocho kama yote najiachia kama kwangu [emoji23][emoji23][emoji23] siku iyo bana nimefika nimejiachia kama kawaida mara tunaskia oni getin demu akashtuka baba akanichukua akanipeleka chumban kwake nikaingizwa chin ya uvungu wa kitanda (kiukwel mda uwo sielewi ata dunian kinaendelea nini yan natetemeka jasho lina nitoka). Demu akatuka kumfungulia mshua akaingia (kumbe Mzee alikuwa anatakiwa asafiri mchana uwo kunadharula)Mzee akauliza Kama kuna msosi akapewa akala akaoga akachenj nguo akasepa [emoji3062] demu anakuja kunitoa chin ya uvungu nimelowa jasho natetemeka alafu lenyewe Linacheka Kama fala [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy nijaribu na hapo club twende tu.

Basi bila hat kuwaza na huku mamb si mambo tugaongozana tukafika kwakuwa alikuwa amelewa kiasi akajitupa kweny sofa moja TU ambalo lililokuweno ndani chumba chake Sasa wakati na mgusagusa c ndo tukasikia mlango unagongwa dah nilihaha

Sana akanieleza ww nijifanye ni kaka yake nimekuja kumsalimia nasoma chuo, bwanaaaa akanipa shuka nikalala pale kweny Kochi akaingia akanikuta akamuuliza Nani huyu? Akajibu "Ni kaka yangu amekuja kunisalimia ametoka chuo."

Jamaa akaingia chumbani kuanza kula vitu, sasa mm Niko nasikilizia sebleni, dah! Asubui ilipofika nikaaga kuondoka, jamaa akasema chukua hela ya nauli hii hap! Sikuamini Kam nimetoka salama.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah pole sana
 
UKIISHA LEWA KILA MWANAMKE CLUB AU BAR NI PISI KALI.
 
Ila ujana una hatari nyingi sana [emoji1][emoji1] mimi nilikuwa naenda kumlia demu kwao [emoji1] nikikumbuka uwa najiona fala sana
Nilikuwa nina demu wangu kipindi icho sina ata hela ya gest na ninakaa hom..demu bi mkubwa anaduka kariakoo mshua Mshua wake yupo Tanrods kwaiyo ratiba zao demu alikuwa anazijua na demu mara nying alikuwa ijumaa anakuwa free aendi chuo na wazee wake walikuwa watu wa tungi sana iyo weekend kurud n saa 7 kuendelea

Basi mtu mzima ilikuwa kila ijumaa naingia kama kwangu vile uzur walikuwa wanakaa ushuan nyumba get hamna ujiran [emoji23] basi nikifika napikiwa mapochopocho kama yote najiachia kama kwangu [emoji23][emoji23][emoji23] siku iyo bana nimefika nimejiachia kama kawaida mara tunaskia oni getin demu akashtuka baba akanichukua akanipeleka chumban kwake nikaingizwa chin ya uvungu wa kitanda (kiukwel mda uwo sielewi ata dunian kinaendelea nini yan natetemeka jasho lina nitoka). Demu akatuka kumfungulia mshua akaingia (kumbe Mzee alikuwa anatakiwa asafiri mchana uwo kunadharula)Mzee akauliza Kama kuna msosi akapewa akala akaoga akachenj nguo akasepa [emoji3062] demu anakuja kunitoa chin ya uvungu nimelowa jasho natetemeka alafu lenyewe Linacheka Kama fala [emoji1][emoji1][emoji1]
Hii nzuri sana i hope bado mko pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom