Wanawake wa kitanzania ni bora kuliko wanawake wengine wa kiafrika

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,043
Naomba nikiri tu kwamba mimi ni kati ya watu waliofanikiwa kuzurura nchi nyingi za Africa na kuishi nchi mbalimbali naomba niweke wazi kwamba japokuwa wanawake wa kibongo wanachangamoto mbalimbali na tabia zingine tusizozipenda lakini wanawake wa Kitanzania ni bora zaidi kuliko wanawake wengine wakiafrica yanayotukuta huku sisi mabaharia ni adhabu bila chuki, tuwaoe tu dada zetu wakibongo hakuna namna
 
Kila leo afadhali ya jana. Lol.Muwage mnaeleweka basi sababu mara huyu asifie mara huyu apondee wanawake wa kitanzania yaani shida tupu.

Nadhani wenye kuelewa wameshakuelewa hapo sababu sio siri tunavumilika na tunajua kuwavumilia pia. Hahahaaa.
 
Sasa km unazamia Somalia tena huko maeneo ya mpakan nakenya ,, unategemea nn??.au uende sudan kusini ,au Kongo , ,unategemea ukutane nawatu Romantic kwel?? Sindo unamgegeda mwenzako ameshikilia Bomu ?? .

Nenda Ethiopia kwa Waisrael wakifrika ,tiririka nao mpaka kwa warwanda hapa wakagawa damu yao , ndo utaprove ulichokisema.

Ila wanawake Wa bongo wazuri tatizo wanapiga Mizinga mnoo !!.
 
Nikweli mkuu kwa mizinga wanashinda ile ya jeshi
 
Back
Top Bottom