Wanawake wa kinyaturu!

Wanawake wa kinyaturu!

Kaoe2 ndugu kwakua ckuhizi Hatupelekwi Appolo India kazi inamalizwa hpa hpa Mhumbili JKCU, hilo kabila ni zaidi ya maharage ya mbeya hauitaji kua na kuni Gazeti2 ukiwa nalo unaivisha na kula,
Sawa boss
 
Kaoe mkuu. Ila kikubwa ridhika na tabia yake yeye.
Wakwangu yuko vizuri sana hadi kichwani. Ninae tunaelekea mwaka wa 4 wa ndoa sasa.
 
Hizi mada siku hizi zimejaa humu hivi mnaoa kabila au mwanamke
 
Kaoe sura mkuu lakini uwe mvumilivu wa tabia
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
 
Babe wangu Mnyaturu. Nakupa hizi sifa from how I know relatives wake wote.
Ni weupe, wapole na watiifu Sana. Hawalalamiki ovyo, mimi wa kwangu namfanyiaga mpaka testing, namwambia kesho nakupa laki 5, ikifika siku namwambia hali imekuwa mbaya. Wala hakasiriki, sio kama my previous ladies. Anakuambia tumuombe Mungu atafanya wepesi. Hii ni kwa wote, hata ndugu zake wapole.

Ila Sasa!!! Something I noticed ana tabia ya kuzoeana na wanaume... Hehehehe am sure if I look deep mimi ndio mchepuko alafu some guy ndio main dude ananihakikishia mie ndio baba, na mwepesi sana kuomba msamaha hata nikikwazika kwa wivu wakijinga. Kitu kingine, hataki niwe na mawasiliano na ndugu zake, eg cousins wa kike. Anasema watanichukua. So from this inakuonyesha hili kabila kwao kusema No kuzito. So jipange. Anyway ukoo wote mzuri hehehe bora hata anavyobana mawasiliano maana.

Anyway hope unamiliki butcher... Cause wanapenda nyama hatari.

-callmeGhost
Hilo la kukataa kuwa na namba za ndugu ni kweli...
 
Haya ndiyo niliyosema!! Wahuni kama huyu lazima waanzishe genge jirani na kwako! Na kujifanya wanakuheshimu sana kumbe! Wannakusanya data za muda wako wa kutoka na kuingia home!
Mkuu mimi ni raia mwema kabisa.
 
Back
Top Bottom