Wanawake wa kinyaturu!

Wanawake wa kinyaturu!

Hahahahaha we jamaa umenichekesha sana
Babe wangu Mnyaturu. Nakupa hizi sifa from how I know relatives wake wote.
Ni weupe, wapole na watiifu Sana. Hawalalamiki ovyo, mimi wa kwangu namfanyiaga mpaka testing, namwambia kesho nakupa laki 5, ikifika siku namwambia hali imekuwa mbaya. Wala hakasiriki, sio kama my previous ladies. Anakuambia tumuombe Mungu atafanya wepesi. Hii ni kwa wote, hata ndugu zake wapole.

Ila Sasa!!! Something I noticed ana tabia ya kuzoeana na wanaume... Hehehehe am sure if I look deep mimi ndio mchepuko alafu some guy ndio main dude ananihakikishia mie ndio baba, na mwepesi sana kuomba msamaha hata nikikwazika kwa wivu wakijinga. Kitu kingine, hataki niwe na mawasiliano na ndugu zake, eg cousins wa kike. Anasema watanichukua. So from this inakuonyesha hili kabila kwao kusema No kuzito. So jipange. Anyway ukoo wote mzuri hehehe bora hata anavyobana mawasiliano maana.

Anyway hope unamiliki butcher... Cause wanapenda nyama hatari.

-callmeGhost
 
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Inasemekana akili za wanyaturu wa 5 ni sawa na akili za mnyiramba mmoja!kila la kheri mkuu
 
wanawake wa kinyaturu ni wazuri sana angalia alie lelewa malezi ya kidini..wanajua kuheshimu mume kwelikweli...mi nimeolea huko ni wavumilivu sana..ila short tempad yaani vihasira vya haraka ila vinaisha haraka....wivu sana unakuta ndugu wote wakali kinoma hataki uwasiliane nao...ila wanapenda future nzuri
 
Nimeshagegeda binti wa kinyaturu nilivyokua chuo...
Mpaka kesho bado namtamani.. Hawaishi utamu.
 
Back
Top Bottom