Wanawake wa kinyaturu!

Wanawake wa kinyaturu!

Ni wazuri machoni, wakarimu usoni... Lakini wengi wao hasa ambao wamekulia huku Singida hawana uvumilivu wa kuwa na mwanaume mmoja, nirahisi sana kushawishika kwa namna yoyote ile!
Note: Sio wote wako hivyo, Usiogope Fanya kile moyo unapenda lakini Acha akili iamue!
Nipo Singida!
Mchana mwema!
 
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli haziiyajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Babe wangu Mnyaturu. Nakupa hizi sifa from how I know relatives wake wote.
Ni weupe, wapole na watiifu Sana. Hawalalamiki ovyo, mimi wa kwangu namfanyiaga mpaka testing, namwambia kesho nakupa laki 5, ikifika siku namwambia hali imekuwa mbaya. Wala hakasiriki, sio kama my previous ladies. Anakuambia tumuombe Mungu atafanya wepesi. Hii ni kwa wote, hata ndugu zake wapole.

Ila Sasa!!! Something I noticed ana tabia ya kuzoeana na wanaume... Hehehehe am sure if I look deep mimi ndio mchepuko alafu some guy ndio main dude ananihakikishia mie ndio baba, na mwepesi sana kuomba msamaha hata nikikwazika kwa wivu wakijinga. Kitu kingine, hataki niwe na mawasiliano na ndugu zake, eg cousins wa kike. Anasema watanichukua. So from this inakuonyesha hili kabila kwao kusema No kuzito. So jipange. Anyway ukoo wote mzuri hehehe bora hata anavyobana mawasiliano maana.

Anyway hope unamiliki butcher... Cause wanapenda nyama hatari.

-callmeGhost
 
Wanyaturu ni wazuri, kama muolewaji anasoma hii thread simshauri kuolewa Lindi!
Watu wa Lindi hawajui kupenda si me wala ke.

Wanachojua ni kutimbana (toa ai weka o)

Lindi watu wengi wamekulia ujombani.
Acha Uongo jombaaa
 
Back
Top Bottom