Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Siku hizi wanawake wote ni hatari, siyo wa marangu peke yao.
 
kweli hawa watu hata mimi nawaogopa sana....... Labda uwe maskin ila ukiwa nazo lazima akutembeze ili azimilik yeye
 
Sio wewe ndio unanuksi mkuu. Angalia pande zote.

weee koma wee...km umekutana na wenye nuksi wanakuletea matatizo si wote....ishia hapo hapo...
Sikuhizi kila wanawake na hata wanaume wanatabia zao mbaya na tamaa zao za pesa...
Huwezi kusema kabila fulani...Ukienda ktk kabila fulani utaona afadhali ya kabila fulani...So stop..Dont mention kabila..


UKIONA MTU ANAZUNGUMZIA UKABILA .....MUOGOPE KAMA UKOMA (Wasia wa Baba wa TAIFA)
 
Mi siyo mchaga ila haipiti siku bila kujadili wachaga, tatizo ni nini? Labda mnataka tunaowapenda wachaga tuwaoe nyie sasa

mwenyewe nashangaa kila siku unakuta mtu kashupalia utafikiria kweli kumbe ni kifo cha kawaida Watanzania tunapoelekea na umaskini wetu wa kifikra ni pabaya sana kwakweli
 
Mmeanza na Wamachame sasa leo Wamarangu ,kesho mtakuja kwetu Old Moshi na kwa ndugu zetu warombo.Hujazimishwa kuoa mchaga Aisee kama vipi mtuachie wanawake wetu tuwahandle wenyewe. Mbona kila kabila lina kasoro jamani kwani mbona kuna wamarangu wengi tuu wamedumu kwenye ndoa. Sio kila anaefiwa na mume basi ni mchaga .. Tabia binafsi ya mtu usijumuishe na kabila loh hiv kwan ww kabila lako lipo perfect!!!!!!!
 

Dah.........cc @RR
 

Mom,

Kwa faida ya watoto wetu, acha tuoane sisi kwa sisi. chasaka tupa kule.
 

Your excellency,

Are you this low au kuna mtu amehack account yako?

Please let me know kwakuwa sipendi sana kuEdit my ignore list mara kwa mara.

Awaiting your quick response
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,

Niliponea chupuchupu kunasa Marangu pande za Msae...sitarudia kosa tena!!
 
Niliponea chupuchupu kunasa Marangu pande za Msae...sitarudia kosa tena!!

Unaona sasa. Kumbe Msae nayo ni Marangu, na Mamba, na Mwika, na Mamsera na Mkuu..... si mseme wachagga tu kwa ujumla? kwaninı specifally wamarangu.

Guys, msihangaike na eneo moja la uchagani. wachagga letu ni moja. dada zangu ueni haya mambwa tulete heshima chini ya mlima. likija senge linajipendekeza, UA keimamae zake. ueni haya majibwa tubaki peke yetu keimamae zao. UENİ nimesema mimi babu yenu.
 
Uwiii mmetugeuza miswaki eheee?ukitika hapo piga na part tu ya wanawake au wanaume waliowaua hao wamarangu umesikia ehee mtoto mzuri.
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,

Wanaume kufa mapema kuliko wanawake ni janga la dunia. Nitaendelea kuamini hivi maisha yangu yote. Nani asiyejua life span ya mwanaume na mwanamke. Nazidi kupata wasiwasi wa elimu ya kizazi hiki. Kwenda eneo fulani na kukuta kuna idadi kubwa ya wajane na watoto kuliko idadi ya wanaume haijustfy kuwa wanaume waliuliwa na wake zao katika eneo hilo.

Kuna sababu nyingi zinazofanya idadi ya vifo vya wanaume kuongezeka na kuacha wajane wengi duniani. Hivyo ni muhimu pia kufuatilia tabia za wanaume na kutambua ni sababu zipi zinapelekea wanaume wanaacha wajane wengi dunia.

Hebu fikiria mwanaume anaposikia maumivu ya kichwa, haendi hospital kupima ili ajue ni dalili ya ugonjwa gani unaotaka kumpata lakini mwanamke anachukua tahadhari haraka.

Mwanaume anaumwa kikohozi anakuambia atakunywa kiroba atopona. pia wanaume wanajiamini kifanya mambo hatari ambayo mwanamke atachukua tahadhari. Lakini akipata madhara ya kifo watu husema yule ameoa mmarangu,mmachame, mnyakyusa, mpare n.k hivyo kifo asingeweza kukikwepa. What's thiiiis!! Hivyo USA wako wamachame na wamarangu? China wako Wanyakyusa?
 
 

Waambie vyasaka hao,watuache
 

Babu boko haram ww nn? Ant-chasaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…