Nina allergy na watu slowSasa hapo umeoa mke au ??😂😂
Labda wakurya wa bunjuWakurya sio Wachawi.
Pia ni wakarimu.
Mkielewana na mwanamke wa kikurya anayejitambua hapo Hadi mauti iwatenganishe
MtanzaniaWewe ni kabila gani??
😹😹😹 Michawi sana haiamini kupendwa bila ndumba..!! 🤣Hapo hapo shukrani mkuu😁😁