SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
ni maliberal sana
wana swaga za kizungu
SI WATII si wapole ni wako juu juu mchek mama yao lucy kibak na weng wao wapo ivoo wanazngatia sana beijing..NDO MANA WANAUME WA KENYA WANAHA HAA kutafuta BIBI WA KITANZANIA wanasema wana huruma sana na wanawake watii kwa waume zao na wana uruma pasipo kuweka pesa mbele km wanawake zao wa kenya
kuachana kwao si issue...thy r indpndt by nature swaga za kubembeleza kwao akuna...
ule upuuzi mnaoufanya kwetu wanawake wa tz kwao hawana muda wa kukuangalia tu ukimfanya yeye km mjinga ..ACTION ON DUE IS CRUCIAL ..wanasemaga ivo..
ongea na wanaume wa kenya wakwambie..wao wanakuja tz au wakisikia wewe ni mtz km mpo nje basi utakoma maombi yanakuwa meeng kutoka kwa wakenya cz wanajua varangat lililopo uko knya
thk twice tuzingatie kipengele cha uwez kugeneralize tabia everone has gt own.
Tabia ya mtu mara nyingi huwezi kuigeneralize lakini kwa ujumla wengi ni wasomi na wako open tatizo ni kuwa ni wachache wenye mapenzi ya kweli wanapenda sana pesa kuliko chochote hata wazazi wao. Ni wachapa kazi kama wakihisi kuna cha juu.
Wengine kudumu katika mahusiano muda mrefu ni ngumu na wanapenda sana kuwa na wanaume kabila lao. Nimekaa nao muda kama miaka sita sasa lakini narudia tena tabia ni ngumu kuigeneralize!
mkuu hapo ndio penyewe kama umeridhika napo we kanyaga twende kila mtu ana tabia zake hapa dunianiJamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
I hope you will take a sip of your own medicine... ninavyokujua wewe????, hivi nikichumbia dada yako utanipa baraka??? au kwanza utasema nibadilishe dini?Hawana shida yeyote ile wewe ishi naye acha ukabila na ubaguzi wewe
Binadamu wote ni sawa, kuna wazuri na wabaya katika kila jamii ok on equal scale
Judge her not where she comes from?
I hope you will take a sip of your own medicine... ninavyokujua wewe????, hivi nikichumbia dada yako utanipa baraka??? au kwanza utasema nibadilishe dini?
Sasa badala ya kumshauri mkuu aache ubaguzi binadamu wote ni sawa kwanini usimshauri dada yako aache ubaguzi?, tena bora yeye mmoja ni mkenya sisi wote ni watanzania.....Really, kwanza kama siyo dini yetu hawezi kukubali for sure I can bet?
Pili ikitokea ntabariki bila shida mkuu, si kwamba sinta mshauri akubadili dini nitamshauri tena sana
Ikishindikana sintakuwa na kinyongo ok.
Sasa badala ya kumshauri mkuu aache ubaguzi binadamu wote ni sawa kwanini usimshauri dada yako aache ubaguzi?, tena bora yeye mmoja ni mkenya sisi wote ni watanzania.....
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Hawajui kupika kwa hiyo jiandae kulishwa SUKUMA WIKI kutwa mara tatu kama dozi hadi ukome!
99% wa wanawake wooote wa kikenya wametahiriwa hivyo jiandae kwa mapenzi butu!
Ni wababaikaji sana na ni maharage ya Mbeya.... hasa akimwona hata rafiki yako ni handsome na anazo fweza unaweza kumegewa kiulainiiiiiiiiii
Wengi wao huku ughaibuni (US) wanawahusudu sana wanaume wa kibongo.
Wengi wao pia ni washamba lakini wanajiona much-know.
Hawajui kupiga pamba kama mademu wa kibongo.
Kama mchangiaji huko juu alivotonya, wanapenda sana ndoa na watu wa makabila yao kwa hiyo kukutosa akipata wa kabila yake kwao sio issue.
Kazi kwako
Huwa wananipenda mimi tu, huyo hakufai,,, nipe mawasiliano yake.