Wanawake wa kihehe

Wanawake wa kihehe

Status
Not open for further replies.

Hussein89

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Habari zenu wadau? Bila shaka mlikuwa na mapumziko mema ya wkend. Ndugu yenu katika mizunguko yangu nimebahatika kukutana na manzi wa kihehe inaonekana kanipenda lakin silielewi siwaelewi vzr wanawake wa kabila hili. Naombeni mnipe sifa au tabia za watu hawa ili niweze kuchukua uamuzi sahihi.
 
kabila haina nafasi sana kwenye mahusiano hasa kwa karne hii wa2 wamelost origine zao so mwangalie yeye kama yeye sema ukimuuz andaa kamba ya kujinyonga tehe!tehe!
 
Ila kusema ukweli..hii siku hizi ndo inatufanya wanaume tudharauliwe...kumpenda /kumtongoza mtu unaomba ushauri facebook au jf...siku hizi sijui kuna nini...?
 
1.Kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ameolewa na ana watoto lakini alidiriki kuzaa na mume wa mtu na akajengewa nyumba nyumbani kwao na mume wa mtu lakini hakukemewa na wazazi wake kwani hata nyumba imejengwa kwa wazazi wake.

2.Kuna dada mmoja tulisoma nae chuo mume wake alikuwa ni Auditor wa wizara fulani lakini chuoni alikuwa anagongwa sana bila hata aibu.

3.Kaka yangu alioa huko mke wake alikuwa ni mchoyo balaa hadi wanandugu tulikua hatuendi kwake kabisa.Mgeni akija na mtoto mdogo yeye anahudumia kwanza wa kwake wakishiba makombo ndiyo anampa mtoto wa mgeni.

Uamuzi ni wako, yawezekana akawa na hofu ya Mungu.
 
jiandae akikasirika anajinyonga, na akijinyonga sambi sako mwenyewe shauri yako.
 
niangusage hehe he he .... ni wanawake wazuri tu wanajua mapenzi ni watamu
 
Inawezekana ni kweli kuwa kuna baadhi ya tabia ni common kwa watu wa kabila fulani,hilo naweza kubaliana nalo lakini isiwe kigezo cha kuchagua mke au mume! mapenzi yana uwezo wa kumbadilisha mtu sana.
My mom ni mhehe and my girlfriend ni mhehe,naweza taja vitu nilivyo viona common; 1.Wakikasirika ni hatari..wakali hao.
2.Wanajua kulea familia..sio wavivu
3.Wavumilivu
Mengine utayajua ukizidi kukaa nae.
 
Mfano baba Mchaga na mama Mhehe, binti yao kaolewa na kijana ambaye baba ni mzaramo na mama ni mmwela. mtoto wao atakuwa kabila gani?

Hapa nataka kuonyesha kuwa kabila sio issue siku hizi hasa mijini. Mwl alisema unaulizia kabila kwani unataka kutambika? Hata kama mtoto anatokana na wazazi wa sehemu moja lakini kakulia mjini hata hiyo lugha ya wazazi wake haijui zaidi ya kiswahili, bado utasema huyo kabila fulani?

Mambo ya niangusage sambi sako mwenyewe au chagulaga nene ni huko bush sio mjini. Mjini kuna watanzania basi
 
Nenda makumbusho ukasome kila tabia ya kila kabila na sio kuja humu eti kuomba ushauri ni bora ungeuliza geographical Area ya kuweza kufika iringa na kujitambulisha ukweni kwako
 
Kama mmeridhiana oa tu kabila si kitu tabia anakuwa nayo mtu mwnyw haijalishi kabila.
 
Kabila muhimu weeeee. Unaweza kumruhusu mkeo aende ngomani wiki nak. Yapo yale ya kitanda hakizai haramu. Wako wakeketaji. Wako wababe. Wapo wachawi kijiji chote. Kama huna uchawi unaitwa mtoto hata kama una miaka 40. Vitabu vya mila na desturi za makabila vipo madukani. Tafiti mbalimbali zipo. Usiridhike na majibu ya humu kama uko serious.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom