Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
Sasa wakifa wewe inakuuma nini kufa wewe kama unaona wanafaidi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] yaani michango yako inakuwaga burudani kweli kweli.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii) wenye mafanikio au dalili ya kufanikiwa tu! Wanaume waliosoma, wenye hela au biashara kubwa kubwa. Mbaya zaidi wakishaolewa wanawaendesha hao wanaume mpaka wengine wanakufa vifo vya ghafla kama vile kwa presha! Mrengo wao kimaisha ni kujenga kwao.

Ndugu zangu na rafiki zangu asilimia kubwa wenye mafanikio na elimu wote wameoa wachagga au wahaya, yaani badala ya kuwapenda hawa wanawake kwa sababu ni shemeji zangu, badala yake sina amsha amsha nao kabisa. Mwaka jana kulikuwa na harusi kama 18 hivi ambazo nilihusishwa kwa sababu ya ukaribu au undugu, yaani kati ya hizo 16 mchagga au mhaya anaolewa! Niligoma mgomo baridi, vikao wala michango sikutoa! Mbaya zaidi kuna jamaa nimesom naye UDSM rafiki wa damu, tuliapa viapo vyote, tukae mbali na wanawake wa kichagga na kihaya, cha ajabu juzi ananitumia ujumbe wa simu kuwa anaoa na nilivyohoji shemeji ni wa wapi, akaniambia mchagga. Yaani anamezwa na zimu tulilolikwepa kwa zaidi ya miaka kumi!

Wakuu hii hali ikoje kwa jamaa/ndugu zenu? Wanawake wa kihaya na kichagga muwe na uungwana japo kidogo.
Wanyakyu?
 
Kwa hiyo uko uchagani kukoje maana nasikia wakishawateka wanaume na kukomba pesa huwa wanaenda kujenga kwao
Kuko kama dubai nn, maana wameaza zaman haka kamchezo
 
Ukweli ni kwamba wachaga, wahaya na wahehe na wanawake wa makabila mengine wachache wa kubahatisha ndio wife materials kwa hapa Tanzania.

Ukiwa mwanaume uliye pevuka, unajielewa akilini uwezi kuoa msambaa, mgogo, mrangi, mnyaturu, mzaramo, mmakonde na makabila mengineo.

Sasa hivi watu tunaoa makabila yanayojishughulisha, wenye kupenda maendeleo.

Sababu ya kurestishana in peace sii kweli, ni dhana potofu.

Ila kama wewe ni mwanaume dhaifu, mvivu, una mfume dume, huna future, una wivu,mariao kamwe achana kuoa hayo makabila wachaga na wahaya, utakimbia wewe mwenyewe familia yako. Bora muhehe anauvumilivu
Binafsi naoa ili kupata amani na si kumpata mtafutaji,anachosaidia kutafuta kina faida gani km kinachochea dharau,mwanaume haupaswi kuoa eti ili usaidiwe kutafuta,naoa nipate amani maana najiamini nnaweza kuitafutia familia yng mkate wao na ndo mungu alivoumba,kusaidiwa na mke ni ziada na si sifa ya msingi
 
Mwanamke wa kichagga Mzuri ni yule aliyekufa otherwise jaribu utaona. Naongea na experience. Kaka angu boss mzito office moja ya Serikali yupo hoi... Ni kama kachanganyikiwa kabisa. Ni wazuri kwa mizizi pia sio Kuua tu. Utaitwa beibiiii wafanikishe lengo Lao kama utamuona. Weka mbali kabisa na mutoto ya kilimanjaro.Ni mara kumi wahaya na wapare.

Wachagga walisoma strategic management wakiwa tumboni. Sasa wewe unatoka hapo na kikabila chako mko kumi unahis ni easy kuoa mchagga.
Binti anaweza kuwa poa Lakin pressure anayopata toka kwa dada, uncle na Mama ni kubwa zaid ya ile inayo sukuma maji mto RUVU.
Wachagga waoane na wala ndizi wenzao, wanyakyusa au wahaya ndoa zina dumu sana.
Toka huko kwa wa Ngoni kaoe mchagga aliyesoma vizuri. Utaisoma namba tasa.
Utakosa Mali, Utakosa watoto, familia yako ushaitenga kitambo unakufa alone alone.
Lakin mimi nawatumia maana ni kaskazini, wanashoboka wanahisi mimi moyoni nipo nao Lakin hapana. Ukiwa mtafutaji na zoba vuta binti wa kichagga.

Akili yako changanya na ya kuibia fanya maamuzi.
 
Jamani oeni marafiki zenu wa utotoni utaona maisha ya ndoa yavyokuwa matamu, hiyo haina cha kabila wala ukanda. Matatizo yenu umekua huku unachezea vifuu vya nazi wakati mwenzio amekua anacheza game kwenye IPd yake aliyonunuliwa na shangazi yake. Lakini Mungu si Athmani na wewe anakupa akili ya shule au biashara maisha yanakunyookea unajikuta unamiliki mkongojo wa nguvu ndicho kipindi ambacho unatafuta mchumba au mpenzi hapo lazima uangukie kwa watoto wakali wa hadhi uliyo nayo bila kukumbuka kwamba yale maisha ya vifuu vya nazi yamekuwa stored kwenye permanent memory na yanakuja kwenye temporary memory unconsciously na mwenzi wako naye hivyo hivyo. Mkioana tofauti hiyo lazima ijitokeze mtayaishi vzr kama mmoja wenu atapewa hekima na Mungu akaamua kujishusha.
 
hyo mkabla sio.... umimi mwingi snaaa
Mwezi may 2016 nilienda kijijini kwangu huko Njombe. Katika pitapita zangu nikawa na kutana na wazee wa pale kijijini moja ya mambo walionieleza kwa uchungu sana ni juu ya jamaa yangu mmoja aliyemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam miaka ya tisini kwamba tangu ameoa huko Kigoma hajawahi hata kurudi kijijini pale na wala hana msaada kwa ndugu zake na wanasikia wakati mwingine huwa anakuwa Kigoma ukweni. Kwa mtazamo wangu kutokana na mambo kama haya tusiwalaumu akina mama wa Kichaga na Kihaya bali nadhani ni ushamba wa waoaji tu, hivyo wasaidiwe
 
Ila ukweli kwa sasa watoto wa Kichagga ni warembo jameni!! Afu wengi wao wamesoma, Ngozi nyororooo!!
Afu akiona umesoma au una hela au unauelekeo wa kufanikisha kimaisha, una mtongoza leo j1, J4 unakula mzigo na anataka akufunge mkataba fasta!!

Tongoza sasa makabira mengine ni balaa!! Miezi 4 hujajibiwa YES or NO!! Huku anataka/anapenda.

In short wachagga ni wajasiliamali ktk Mapenzi.
 
Zama tulizonazo, elimu unayodai kuwa nayo na heshima ya chuo ulichokitaja na kwamba bado umeshindwa kuelimika kiasi kwamba bado una mawazo stereo type kuhusu makabila na watu wa aina fulani nikikuambia kwamba elimu yako haijakusaidia badala yake ulihitimu tu chuo nitakuwa nimekukosea?
Hapa sio Elimu, issue ni inborn traits za dadaz wa kichagga, unahis shule ina nafasi kwenye penzi?....
 
Kwa hiyo uko uchagani kukoje maana nasikia wakishawateka wanaume na kukomba pesa huwa wanaenda kujenga kwao
Kuko kama dubai nn, maana wameaza zaman haka kamchezo

Hao kwa upande wa mahusiano ya kiwizi ni wakoloni wa kiafrica mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom