hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
yaaa!!! nishiiiiiiidaa
Wachagga akili zao ni kutafuta pesa maisha yaende poah, tatzo ubovu wa watz ni uvivu na kuwaza mapenz tu vichwan mwao kila saa, sasa nan anaweza kuvumilia mvivuna muwaza ushenz tu. Tafuten watanga jmn, kwan mnalazimishwa kudate wachagga! maana mara mchagga kafanya hv mara hiv si muwaache tu tafuten hao wanawake wasafi na wenye roho nzuri, kaz kuanika wanawake zenu tu. jinsi gan msivyofundwa kwenu, nyie pia hamfai kuwa w'ume za watu..!! psiiiiii
Kama ni ukabila basi ni nyie mnaotamani kuwatofautisha watanzania. Mtanzania gani asiependa kusaidia ndugu? Hata na hili nalo baya? Mimi naona ni jema sana japo ni mchaga sijaliwezea vizuri. Wenzangu wa Musoma nawasifia sana kwa hili. Ni wakarimu sana. Ila ni jambo jema.Jamaa hawa wapo tofauti na Watanzania,wao wanafanana na wakenya hata kwa ukabila wanao tena upo juu sana.
Demu atakujazia ndugu zake nyumbani uwasomeshe
Ukipata mchanganyiko wa mmachame na mmeru utalia kilio na lusaga meno full money manic
Wachagga akili zao ni kutafuta pesa maisha yaende poah, tatzo ubovu wa watz ni uvivu na kuwaza mapenz tu vichwan mwao kila saa, sasa nan anaweza kuvumilia mvivuna muwaza ushenz tu. Tafuten watanga jmn, kwan mnalazimishwa kudate wachagga! maana mara mchagga kafanya hv mara hiv si muwaache tu tafuten hao wanawake wasafi na wenye roho nzuri, kaz kuanika wanawake zenu tu. jinsi gan msivyofundwa kwenu, nyie pia hamfai kuwa w'ume za watu..!! psiiiiii
Wachaga sie dili eh..jf kila leooo twasemwa
Wakiachwa nani atawaoa na wakati wanaume wa kichagga wanatafuta wanawake wa makabila mengine wenye utu,wasiokuwa na ubabe kwa waume zao na wanaojua kudeka na kumheshimu mume?
Wakiachwa nani atawaoa na wakati wanaume wa kichagga wanatafuta wanawake wa makabila mengine wenye utu,wasiokuwa na ubabe kwa waume zao na wanaojua kudeka na kumheshimu mume?
Mimi si mchaga ila mume wangu ni mchaga...alishajipia asingeoa mchaga mwenzie ht kwa fimbo..nikamuuliza kwanini na wakt ni kabila moja akasema...sijui wakoje wakoje siwawez kwakweli...mimi nikabaki kimya...na hapo kuna demu wa kichaga alibeba mimba yake.hakutaka ht kumtambulisha kwao...ht kumuoa hakutaka ..
Mume wangu pia ana dada yake she is 36 now hajaolewa na ni msomi...ni mzuri ila ni mkorofi..ni mbabee htr..anapata mabwana wanamtosa njiani . Yani anataka kumcontrol kila mtu...
Wamekwambia wako na shida ya kuolewa? Kama wamakabila mengine ni wazuri na wanaheshima why muhangaishane na wanawake wakichaga si mkaoe hao wengine? Au mnawaonea wivu wanawake wa kichaga?
Kiukweli hakuna washkaji wa ukweli kama wana wakichagga na ni watafutaji hadi makabila mengine yanaweza kuiga mfano wao ila dada zao wana ubabe na ukatili kwa waume zao (hata kama ni wachagga wenzao) ambao hauna msingi wowote na kujali tu pesa na sio utu.
ONYO: Kama wewe ni maskini au una uchumi wa kawaida sana(sio tajiri) usioe mchagga kwani utaumia.