Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Hakuna tofauti katika wa dada wengi wa chagga na alshabab nika date naye yani nikawa ATM kibaya zaidi akianza lawama adi jogoo awike alitengeneza njama eti niwawe lakini nikawa mjaja sana nilimpiga kibuti mapema. yani balaaa! nikaleta hasty generalisation wato ndio walivo.am srry

Hapo sasa umecross the line mkuu
 
Janga hilo baba but ndio wako uliemchagua so uvumilivu unahusika
 
He kwa nini ulioa hao hawaolwewi bali ni hit and run na hapo atakuheshima na mgao atakupa
 
Yupo binti amezaa na kijana wetu watoto wawili na kuitingisha sana ile ndoa. Tatizo lake mbabe, na anataka apate haki sawa na mwenye mume na anashinikiza ndugu shughuli zote za kifamilia ahudhurie wala haogopi likitokea timbwili.
 
Mimi si mchaga ila mume wangu ni mchaga...alishajipia asingeoa mchaga mwenzie ht kwa fimbo..nikamuuliza kwanini na wakt ni kabila moja akasema...sijui wakoje wakoje siwawez kwakweli...mimi nikabaki kimya...na hapo kuna demu wa kichaga alibeba mimba yake.hakutaka ht kumtambulisha kwao...ht kumuoa hakutaka ..
Mume wangu pia ana dada yake she is 36 now hajaolewa na ni msomi...ni mzuri ila ni mkorofi..ni mbabee htr..anapata mabwana wanamtosa njiani . Yani anataka kumcontrol kila mtu...
Kumbe unawajua. Wake zetu ni kiboko na suala la kukataa wa ndugu zako na kurundika ndugu zake tu. Mchagga huwa hana uso wa aibu hata siku moja.
 
wachaga ni kila kitu . katika ndoa nying kwasasa kam si mwanaume bas mwanamke ni mchaga.
 
Yupo binti amezaa na kijana wetu watoto wawili na kuitingisha sana ile ndoa. Tatizo lake mbabe, na anataka apate haki sawa na mwenye mume na anashinikiza ndugu shughuli zote za kifamilia ahudhurie wala haogopi likitokea timbwili.

Hawaogopagi hao
 
Sio wote wapo hivyo mm nimezaa na mzaramo anapenda pesa hadi namuogopa, mpaka sasa kila mtu kivyake nimeoa mchaga na maisha yanakwenda kawaida kabisa sipati kero nilizokua naziona kwa mzaramo

Endelea kuvuta subra,bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Mmmh hilo ni kweli a see hata mm kuna mdada nafanya nae kaz ni hatari
 
oeni wanawake wa makabila mengine acheni kelele,kwani wanawake wa kichagga wanawashikia panga kua ni lazima muwaoe au nyie tuu na kujishaua kwenu kua mmependa:confused2::confused2:
 
Kweli mkuu wanawake wakichaga ni shida ila sina uhakika kama ni wachaga tu au wanawake wote.,
 
Unaoa mchaga unalalamika kuhusu hela, ni sawa na kuoa mzaramo na kulalamika kulala ngoman au kuoa mhaya na kulalamika anataka mshobobo kwa kwenda mbele tena possibly sio wakwako
 
Na lazima afanye importation ya wadau kutoka Kuleeee kwa Kenyatta....
 
Wachagga wachafu
Tamaa mbele (kupenda pesa)
Waana sifa mbaya ktk ndoa wanamambo ya ovyo saana
Ubabe usio na msingi na vngnevyo visvy ata na msing ktk jamii
Time to change chagga's

Hapo siungi mkono hoja umewaonea hakuna watu wasafi km wachagga mi nawapendea hapo nina mifano mingi ni wasafi sana km wachafu wapo sio wengi l love them
 
Kama Unapenda Kukaribisha Matatizo Oa Mwanamke Wa Kichaga.Kila Kitu Wanajua Wao.Na Hawakubali Kujishusha.
Mimi Nilishaapa Siwezi Kuoa Mwanamke Wa Kichaga Hata Kwa Bunduki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom