Wanawake wa kiafrika eti mnakwama wapi

huwa nawaambia wanawake,Mungu kawanyima kujiamini tu.

mbantu akitembea anapendeza,akivaa nguo inakaa,akicheza mziki anavutia,akinyoa para anapendeza,akikuza nywele anapendeza.

nani aliwadanyanya madawa na mawigi yanawapendeza!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e8bf8159ce67e58729f9a6339bae9574.jpg
 
Back
Top Bottom