Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,745
- 54,660
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu una namba yake???Tena wamekaririshwa vibaya sana,mtu anavaa wigi kama kiotabcha ndege
Yupi mkuumkuu una namba yake???
au mods mnasemaje??
Sio kidogoMwanamke akiwa na nywele fupi za asili au akinyoa low cut anakuwa anavutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaMwanamke akiwa na nywele fupi za asili au akinyoa low cut anakuwa anavutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
yule wa kwanza??Yupi mkuu
Hahaha,umemuelewa mkuu,sina namba yake mimiyule wa kwanza??
hatari Sana'a😄😄😄Hahaha,umemuelewa mkuu,sina namba yake mimi
Nandy madiba Huyu manzi namwelewa kinyamaaaMnaona alivyopendeza lakini?View attachment 1430359
😂😂😂Acha kabisahatari Sana'a😄😄😄
Jamaa anauliza una namba yake?Nandy madiba Huyu manzi namwelewa kinyamaaa
Huo ndio ugonjwa wangu mkuu...Mwanamke akiwa na nywele fupi za asili au akinyoa low cut anakuwa anavutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ya nini?Mnakwepa gharama tuu,hamna lolote,wapelekeni wake/wapenzi zenu saloon
Sent using Jamii Forums mobile app