Bado nakufuatilia mwenendo wako. Nikikupoteza kama walivyomfanyia mmiliki wa Ze utamu usinilalamikie.
Hata wewe kuna PM yangu hujajibu!Ahahahaaa! kumbe huwa wanakumiss poti?
Hata wewe kuna PM yangu hujajibu!
Hata wewe kuna PM yangu hujajibu!
Wewe sio Amwit52 sasa...Jamani mbona mie situmiwi hizo PM, yaani msingekosa majibu.
Jamani mbona mie situmiwi hizo PM, yaani msingekosa majibu.
Ndiyo nimeingia Mwanza. Nadhani tutalala hapa manake mafuta yametuishia na mji mzima umezizima.