wanawake wa jf kuanzia leo msinijue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Jun 21, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mnajifahamu,wote ambao nimewasarandia,wote ambao nimewagonga,kuanzia leo siwajui msinijue.Tatizo lenu mkiniomba hela ya saluni nisiwape mnakimbilia kunisasambua jamvini,mnanchekesha.Narudia kusema mi na nyie basi,na hivyo vi vitz nilivyokununulieni chukua,na viwanja hata hati hizo chukueni,na zaabu nikiwaleteeni toka dubai chukueni,niliowaazima ipad zangu chukueni,niliokupeni ma samsung galaxy na mamiwani ya ray ban na police chukueni,na hiyo misaa ya cartier na gucci niliyokupeni chukua.Tatizo lenu wengi wenu mnasahau nilikokutoeni,kama wewe @Zinduna ulikuwa sakapoko,huna mbele wala nyuma,viatu nilikufundisha mie kuvaa,leo unanata, kwenda ulaya kwako sasa ni sawa na kwena magomeni ,nimekusomesha kuanzia fom one shaban robeti hadi nikakupeleka Uk masters digrii,kazi benki kuu nimekutafutia mie,apartment upanga nimekununulia mie,wadogo zako bishanga ndo nimewatoa,sasa juzi gari suzuki vitara kukwama gereji nakwambia subiri kidogo nitakwenda kulipa ndo una panic na kukimbilia jf? Loh huna hata uso wa haya binti Said wewe,sasa utajibeba nione utaishije mjini.
  Nenda zangu Mynmar kuvuta kibinti cha ki Asia naambiwa wana adabu hawa na wanajua kutunza mme.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaa ni hasira za kusutwa au ?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah ila umejikakamua kuwaachia vitz na viwanja nilidhani ungewapokonya lol
  Umeuonyesha ubepari wa kihaya kwelikweli
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh! Mbona unatapatapa sana banana man! Kulikoni? Juzi kati si ulisema hugusi tena jamvi hili,kulikoni? Kweli nimeamini 'bishanga bila chit- chat hawezi kuishi'
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  pole Bishanga.

  Ukipata muda rudisha kila nilicho kupa
  ama sivyo nitavifuata kwa muda wangu ..:A S-devil4:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Nimeona nije niwapake cha mwisho kisha nitokomee zangu,hawabebeki hawa labda iwe mbeleko ya chuma.
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hana kitu...si ndo alitumia kumuhonga
  The secretary na Lizzy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Unawapa bila maji?
  Hivi Zinduna kwenye list yako yumo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  lazima ana kitu maana mi nataka (si ombi tena):A S 13:
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hivyo havirudishiki bana.......msalimie mpendwa wetu naniliii......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kaka pole sana. Ulivamia bahari pasi na kujihadhari, kuna papa na nyangumi. Ungemuagiza mzazi akupostie binti swaafi kutoka kanyigo, mpaka wamjanjarue umri umeshasogea.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kafulia mbaya hadi kashindwa kuwahudumia hao wake zake anajifanya kuwamwaga jumbe hali mbaya...labda akupe shamba la migomba
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Eti anadai haya majimama ndo kipenda roho....wanajua kutumia...akasahau hata KUSUTA wanajua...wacha wamuibukie na kiduku lol noma hadi akataka kuhama jukwaa
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kwenda zako mwana kwenda! chonka iwee bojo Bishanga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  hureee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  morning Erickb52, anajitia uboss kuwa eti kagawa tu, kumbe roho yamchonyota acha kabisa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ahahaaaaaa! le BISHANGA LE BASHAIJA FATAKI LA TANDALE Mbona unaleta mambo ya hausimami hausimiki hapa kalagabao umefulia wewe hautudai hatukudai kazi yako copy and paste nenda kaazime guta kwa ERICK52 ukambebe huyo m-asia wako
   
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  morning Bishanga! ni upepo tu unapita, na wake zako wote watarudi, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mmmh......mbona maneno mazito sana haya? Nawasubiri na wahusika waje....lol!!
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Nyie ndo nilikuwa nawasubiria ili mpambano ukamilike! LOL
   
Loading...