wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Ahahaaaaaa! le BISHANGA LE BASHAIJA FATAKI LA TANDALE Mbona unaleta mambo ya hausimami hausimiki hapa kalagabao umefulia wewe hautudai hatukudai kazi yako copy and paste nenda kaazime guta kwa ERICK52 ukambebe huyo m-asia wako
Tena mwambie aje achukue bure kabisa sasa hivi....
Halafu The secretary unateseka na haka kajamaa?
 
Last edited by a moderator:
Mnajifahamu,wote ambao nimewasarandia,wote ambao nimewagonga,kuanzia leo siwajui msinijue.Tatizo lenu mkiniomba hela ya saluni nisiwape mnakimbilia kunisasambua jamvini,mnanchekesha.Narudia kusema mi na nyie basi,na hivyo vi vitz nilivyokununulieni chukua,na viwanja hata hati hizo chukueni,na zaabu nikiwaleteeni toka dubai chukueni,niliowaazima ipad zangu chukueni,niliokupeni ma samsung galaxy na mamiwani ya ray ban na police chukueni,na hiyo misaa ya cartier na gucci niliyokupeni chukua.Tatizo lenu wengi wenu mnasahau nilikokutoeni,kama wewe Zinduna ulikuwa sakapoko,huna mbele wala nyuma,viatu nilikufundisha mie kuvaa,leo unanata, kwenda ulaya kwako sasa ni sawa na kwena magomeni ,nimekusomesha kuanzia fom one shaban robeti hadi nikakupeleka Uk masters digrii,kazi benki kuu nimekutafutia mie,apartment upanga nimekununulia mie,wadogo zako bishanga ndo nimewatoa,sasa juzi gari suzuki vitara kukwama gereji nakwambia subiri kidogo nitakwenda kulipa ndo una panic na kukimbilia jf? Loh huna hata uso wa haya binti Said wewe,sasa utajibeba nione utaishije mjini.
Nenda zangu Mynmar kuvuta kibinti cha ki Asia naambiwa wana adabu hawa na wanajua kutunza mme.

shimo la panya halizibwi kwa mkate babu.hivi ni jukwaa gani we unaweza kulihimili ikiwa la kule chini kabisa ulipofika tu kwa uchu wako ukapata concussion ya ile kitu
 
He he he he, pole weee
Kutesa kwa zamu, ulinimimina kwa kunisasambua
Wamekutenda hao mamodo uliowakimbilia
Ukasema nimezeeka sijui hata kula kwa uma na kisu.

Pole zako, naijia picha yangu
 
teh teh teh. kweli mamito Amy kakunyosha papito.

unatamani lakini unaogopa kushibisha tamaa yako.
Hahahahaaaaa Erotica bhana....tena amenipa probation isiyo na muda wa kuisha so napata shida sana
Sijui nifunguke tu..lol
Ngoja niwe na subira kwanza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom