Wanawake wa JF badilikeni!

Status
Not open for further replies.
kuchat hapa jf ni tabia ya mtu na ulivyomuona ni ambavyo alivyo two different things,(muonekano wa mtu haudefine matendo yake)inawezekana ukampata mtu ambae ni mzuri kama uliemtrajia na still kawa hajui kuchat (social interaction)kama huyo ulimzungumzia hapa
 

Kwani wewe ni handsome?
 
too much expectation
Kabisa, na ndio inatugharimu wengi wetu. Tatizo wadada na wakaka wa humu JF wanajifagilia sana, kiasi kwamba wanajenga expectations kubwa kwa wenza wao. Mfano mmoja ni huu HAPA, ambapo mkaka wa watu alijikut akiwa mdogo kama mbegu ya mchicha. Twende kazi
 
hahahahhahaaa umenichekesha sana, ila pia unavyowafanyia wenzio sio vzr kaka, kwani we nia yako ya kukutana nao ni nini hasa? je na wewe unatafuta mwenza au? kama ndivyo ukikutana na mtu ukaona hakufai kaa kimya sio kuja kuwadhalilisha humu
sa nyingine na yeye mwenyewe kituko, we huwez ukamsema mwenzio wakati wewe hujui wengine wanakuonaje...!!
 
Bora umemkumbusha hilo...
 
Mi nadhani wewe ndio inabidi ubadilike..!

Humu mitandaoni kuna mengi, usione ambavyo wenzio hatusimulii ukadhani ni wewe tuu ndio yanakukumba..!

Wenzio tunapiga zetu kimyaa na maisha yanaendelea..!
 
Miwanaume mingine bana.....inaelekea huna cha kufanya wewe..we mwenyewe uejaa mikasoro kibaooo, jichunguze kabla hujaenda kwa wenzio,kwan upara wa achabu?hujui kuna fashen hiyo...ufupi wake we unakuhusu nini kwani mkeo huyo? peleka huko upuuz kwa wanaopenda ujinga kama wewe
 

jamani kulikoni kwani ndo wewe?
 
Sio mimi but ameniboa kumsema mtu hivyo..Huwezi ukamchambua mtoto wa mwenzio kama wewe ndo mzazi wake

Kweli siyo vizuri kudharau uumbaji wa Muumba kwani kila kazi aliyoifanya aliiona njema,yeye ndo kawafanya wengine warefu na wengine wafupi,..hutenda kama yeye apendavyo.
 

Facebook hapa siyo mahala pake...! Huna kazi ya maana ya kukupatia kipato kizuri zaidi ya kuandaa mikutano isiyo na tija?

SoB
 
Matambo ya mtu ndo yanakupa shauku ya kumjua undani wake mfano.kila siku anaandika wanawake wazuri kama huna pesa wataishia kuwa dada zako,hii itakufanya utake kujua sura yake inaonekanaje,mara gali langu la tatu nimelichukua bandarini leo.

Pamoja na hayo still not enough reason to justify what he has done
 
Sio mimi but ameniboa kumsema mtu hivyo..Huwezi ukamchambua mtoto wa mwenzio kama wewe ndo mzazi wake

yani sio vzr kabisa ukute dada wa watu alienda kukutana nae kwa nia njema kabisa akijua finally labda ameshapata mwenza, sasa leo akifungua akakuta thread kama hii unazani self esteem yake itakuaje?
 
Kweli siyo vizuri kudharau uumbaji wa Muumba kwani kila kazi aliyoifanya aliiona njema,yeye ndo kawafanya wengine warefu na wengine wafupi,..hutenda kama yeye apendavyo.
Mkuu haina haja ya kumbwatukia, kwani katoa angalizo

(Hii ni kwa ajiliya wale inayowahusu tuu! Kama haikuhusu thn soma kimyakimya halafu tembea.)

Binafsi sijapenda alichofanya, lakini pia hakutaja jina wala kuweka avatar, sio tatizo sana. Na ametoa angalizo la watu kuwa wahalisia..Tusijipandishe sana
 
We una hamu ya kuhama humu kwa nguvu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…