Wanawake wa instagram nimewavulia kofia loooh

Shenzi sana!!

Kamera utoa rangi kutegemeana na exposure ilivyo.

Mdada wa watu mzuri tuu, na picha zake za kawaida we unamtafutia nn
Sure nami nilivyoona tu nikajua tofauti ni mwanga na uelekeo wa mpiga picha in relation to sun..

Ukiangalia hata mazingira utajua moja maua ni angavu zaidi yanang'aa na nyingine ina giza
 
Ila Hiyo Rangi Yake Ya Black Ndio Nzuri Kweli Yaan....Kuliko Hiyo White, Yaan Tuseme Kajiharibu Kwa Filter....
 
Back
Top Bottom