Hapa itakuwa ni Somalia.niwapi hapo
N wnaume zao tungekuwaje!? Fikria na hil kwanza
Weeeeeeeee!!Hawa ndiyo wakuoa sasa. Leteni connection basi.
Na ubahili wenu wa Kibongo bongo hamuwawezi hao!!!!Hawa ndiyo wakuoa sasa. Leteni connection basi.
Hao kizenjizenji mbona poa tu.Na ubahili wenu wa Kibongo bongo hamuwawezi hao!!!!
Hawa Migambo wamepinda kuvaa flat mwingine sandals mziki wake SI wakitotoHawa ndiyo wakuoa sasa. Leteni connection basi.