Aisee Dar pesa yako mkuu. Kutongoza sana ni rare sana.
Ila kuwa macho, huku wanawake wako macho mfukoni sanaaaa!!!!
Chunguza utaona, hata JF humu humu wanaaksi ninachosema....
Nimeshajaribu wengi, nimeona mengi. Si under 30 wala over 30! Wote wako active kwa zaidi ya 85%.
Ila kama upo hapa kwa ajili ya sex tourism, endelea kuwala!